wakiacha nani atakuhudumia hospital nani ayakufundishia mwanaoKutwa wanalialia huku si waache hizo kazi??
wakiacha nani atakuhudumia hospital nani ayakufundishia mwanaoKutwa wanalialia huku si waache hizo kazi??
...hizi sound sasa!..ingekuwa rahisi kihivi kila mtu angekuwa kajenga!Mtu wangu wa karibu alianza kazi mshahara 300,000. Tulimuuliza utamudu vipi maisha? Alituomba tu msaada wa freezer, alinunua cooler, basi asubuhi akawa anapanda basi na cooler lake la maji ya Kandoro, na Dar kulivyo na joto, mchana maji yamekwisha, bwana mshahara akawa anauwacha bank anasurvive kwa pesa ya maji. Kama utani alinunua kiwanja na amejenga nyumba, yuko kwake sasa hivi.
Tatizo wewe unavuta picha ya kiwanja Mbezi Beach au Boko, mbuzi anakula kwa urefu wa kamba yake, unapata kishamba Maili moja huko, mtu anakukatia heka yako, ukipata kiwanja kujenga ni taratibu tu, na ukiweka mambo vizuri unapata mpangaji....hizi sound sasa!..ingekuwa rahisi kihivi kila mtu angekuwa kajenga!
...muulizeni vizuri 'magumashia' alofanya,lazma kuna ya zaidi!
Nashangaa kila mtu anasema ni bora kujiajiri lakini hakumbuki alipokuwa primary, secondary school na Chuo alikuwa akifundishwa na nani. Alipokuwa akiugua alikuwa anatibiwa na nani. Akisafiri nani anaendesha chombo anachosafiria; pamoja na huduma mbali mbali za bank, social security n.k nani wanamuhudumia. Katika maisha haiwezekani watu wote wakajiajiri. Kuna huduma zinahitaji watu wa kuzifanya. Labda mseme kuwa kwa wale walioajiriwa wajaribu kuwa na kitu kingine cha ziada cha kuongeza kipato.wakiacha nani atakuhudumia hospital nani ayakufundishia mwanao
I'm not a kinda... simple and flexible though...Asante! Wewe bado uko shule?! Ukija mtaani punguza expectations, just be simple & flexible.
It is possible my dear, mimi huwa sidharau chochote kinachoingiza pesa, hata kiwe kidogo namna gani. Ukiki manage vizuri kinakusogeza sana.Mtu wangu wa karibu alianza kazi mshahara 300,000. Tulimuuliza utamudu vipi maisha? Alituomba tu msaada wa freezer, alinunua cooler, basi asubuhi akawa anapanda basi na cooler lake la maji ya Kandoro, na Dar kulivyo na joto, mchana maji yamekwisha, bwana mshahara akawa anauwacha bank anasurvive kwa pesa ya maji. Kama utani alinunua kiwanja na amejenga nyumba, yuko kwake sasa hivi.
Tatizo wewe unavuta picha ya kiwanja Mbezi Beach au Boko, mbuzi anakula kwa urefu wa kamba yake, unapata kishamba Maili moja huko, mtu anakukatia heka yako, ukipata kiwanja kujenga ni taratibu tu, na ukiweka mambo vizuri unapata mpangaji.
Ukiwa na kazi unaguarantee kuwa kuna kipato kinakuja kila mwezi, ukikipigia mahesabu ya miaka 2 wakati unaishi kwa faida unayoipata kutoka kwa mkaanga chips pembeni, inakusogeza, na viazi vikiadimika mjini unaweza kwenda bank kuchukua pesa ya kwenda kuchukua viazi Lushoto.It is possible my dear, mimi huwa sidharau chochote kinachoingiza pesa, hata kiwe kidogo namna gani. Ukiki manage vizuri kinakusogeza sana.
Sio waache kazi, halafu huduma wanazotoa ni nani atatuhudumia? Cha msingi ni kujibana kiasi waangalie pa kuwekeza ili kujiongezea kipato.Kutwa wanalialia huku si waache hizo kazi??
Duh kweli mkuu yani mshahara unashambuliwa na kila mtu kama mpira wa kona vile au kibaka wa Kariakoo.
Mkuu haka kamwandiko nimekafananisha na vocal niisikiaga mahala fulani lakini sasa uniombee ili kusudi nisije kunyimwa dhamana pale shimoni.Na bado mjomba magufuli ndio kwanza anaiedit namba vizuri ili kusudi hata walioko mbali waione na kuisoma kwa ufasaha tutafika tu
Hii mada sioni ina uhusiano gani na siasa zenu, haya makato, michango ya kijamii kama harusi, misiba, kuchangia chama cha ushirikiano wanakanda fulani au mkoa, havina uhusiano na siasa hata kidogo. Chama chochote hakitakomesha michango ya harusi wala harambee mbalimbali za kijamii. Mleta mada anatahadharisha waajiliwa wa kada za chini, wasitegemee mshahara pekee kuendesha maisha maana wataishia kuwa na uhakika wa kula tu.Tulivyowaambia msikipigie kura chama cha kijani mlituona wajinga. Sasa namba tunaisoma wote,mpaka miaka 10 iishe tutakua tumenyooka.
Tuico unafanya nini???Haya maisha ya mshara haukutani na mwingine tutafika tumechoka
Mshara: 800,000
NSSF: 10% (80,000)
PAYE: (125,000)
HESLB 8%: (64,000)
TUICO. (42,480)
Mkopo: (178,000)
UMEME: (20,000)
Pango: (150,000)
Surplus: 140,520
Hapo fungu la kumi bado