Kila mtu anaushambulia mshahara wa mwezi

Mtu wangu wa karibu alianza kazi mshahara 300,000. Tulimuuliza utamudu vipi maisha? Alituomba tu msaada wa freezer, alinunua cooler, basi asubuhi akawa anapanda basi na cooler lake la maji ya Kandoro, na Dar kulivyo na joto, mchana maji yamekwisha, bwana mshahara akawa anauwacha bank anasurvive kwa pesa ya maji. Kama utani alinunua kiwanja na amejenga nyumba, yuko kwake sasa hivi.
...hizi sound sasa!..ingekuwa rahisi kihivi kila mtu angekuwa kajenga!
...muulizeni vizuri 'magumashia' alofanya,lazma kuna ya zaidi!
 
...hizi sound sasa!..ingekuwa rahisi kihivi kila mtu angekuwa kajenga!
...muulizeni vizuri 'magumashia' alofanya,lazma kuna ya zaidi!
Tatizo wewe unavuta picha ya kiwanja Mbezi Beach au Boko, mbuzi anakula kwa urefu wa kamba yake, unapata kishamba Maili moja huko, mtu anakukatia heka yako, ukipata kiwanja kujenga ni taratibu tu, na ukiweka mambo vizuri unapata mpangaji.
 
wakiacha nani atakuhudumia hospital nani ayakufundishia mwanao
Nashangaa kila mtu anasema ni bora kujiajiri lakini hakumbuki alipokuwa primary, secondary school na Chuo alikuwa akifundishwa na nani. Alipokuwa akiugua alikuwa anatibiwa na nani. Akisafiri nani anaendesha chombo anachosafiria; pamoja na huduma mbali mbali za bank, social security n.k nani wanamuhudumia. Katika maisha haiwezekani watu wote wakajiajiri. Kuna huduma zinahitaji watu wa kuzifanya. Labda mseme kuwa kwa wale walioajiriwa wajaribu kuwa na kitu kingine cha ziada cha kuongeza kipato.
 
Mtu wangu wa karibu alianza kazi mshahara 300,000. Tulimuuliza utamudu vipi maisha? Alituomba tu msaada wa freezer, alinunua cooler, basi asubuhi akawa anapanda basi na cooler lake la maji ya Kandoro, na Dar kulivyo na joto, mchana maji yamekwisha, bwana mshahara akawa anauwacha bank anasurvive kwa pesa ya maji. Kama utani alinunua kiwanja na amejenga nyumba, yuko kwake sasa hivi.
It is possible my dear, mimi huwa sidharau chochote kinachoingiza pesa, hata kiwe kidogo namna gani. Ukiki manage vizuri kinakusogeza sana.
 
Tatizo wewe unavuta picha ya kiwanja Mbezi Beach au Boko, mbuzi anakula kwa urefu wa kamba yake, unapata kishamba Maili moja huko, mtu anakukatia heka yako, ukipata kiwanja kujenga ni taratibu tu, na ukiweka mambo vizuri unapata mpangaji.

Hii nimeipenda 2013 niliajiliwa kwenye company moja hivi nilikusanya vipesa nikaenda kibaha nikapata eka moja kwa 1.8mil.basi kila mwezi nikawa nanunua tofali 500 na kulipia vifaa vingine kwenye hardware,ilipofika 2015 mwanzoni tukaambiwa company imekosa tender so tutapunguzwa haaa baada ya hapo tukapigwa chini july 2015,hapo kodi nilipopanga kimara ilikuwa imebakia kama miezi 3 iishe basi vile virupurupu tulivyopewa nilimpa fundi anijengee,inshallah ujenzi uliisha na nikaweza kuhamia.japo sina kazi stress za kodi hamna napiga vibarua sasa napata 10000 kila siku life goes on.

Inahitaji kujipanga mdogomdogo maana sipati picha jinsi baba mwenye nyumba vile angenufukuza sijui ningepeleka wapi family na fedheha ya kufukuzwa sio mchezo.
 
It is possible my dear, mimi huwa sidharau chochote kinachoingiza pesa, hata kiwe kidogo namna gani. Ukiki manage vizuri kinakusogeza sana.
Ukiwa na kazi unaguarantee kuwa kuna kipato kinakuja kila mwezi, ukikipigia mahesabu ya miaka 2 wakati unaishi kwa faida unayoipata kutoka kwa mkaanga chips pembeni, inakusogeza, na viazi vikiadimika mjini unaweza kwenda bank kuchukua pesa ya kwenda kuchukua viazi Lushoto.

Wanasema maisha si kile unachopata bali ni kile unachoweza kuweka akiba. Kuna watu wanachukua mil.5 kwa mwezi na bado wamepanga nyumba wenyewe wanaita apartments.
 
Na bado mjomba magufuli ndio kwanza anaiedit namba vizuri ili kusudi hata walioko mbali waione na kuisoma kwa ufasaha tutafika tu
Mkuu haka kamwandiko nimekafananisha na vocal niisikiaga mahala fulani lakini sasa uniombee ili kusudi nisije kunyimwa dhamana pale shimoni.
 
Tulivyowaambia msikipigie kura chama cha kijani mlituona wajinga. Sasa namba tunaisoma wote,mpaka miaka 10 iishe tutakua tumenyooka.
Hii mada sioni ina uhusiano gani na siasa zenu, haya makato, michango ya kijamii kama harusi, misiba, kuchangia chama cha ushirikiano wanakanda fulani au mkoa, havina uhusiano na siasa hata kidogo. Chama chochote hakitakomesha michango ya harusi wala harambee mbalimbali za kijamii. Mleta mada anatahadharisha waajiliwa wa kada za chini, wasitegemee mshahara pekee kuendesha maisha maana wataishia kuwa na uhakika wa kula tu.
 
Mishahara midogo sana. Mimi tarehe 2 haifiki nakuwa nimeishiwa kabisa. Nasaka mashamba nilime.
 
Haya maisha ya mshara haukutani na mwingine tutafika tumechoka
Mshara: 800,000
NSSF: 10% (80,000)
PAYE: (125,000)
HESLB 8%: (64,000)
TUICO. (42,480)
Mkopo: (178,000)
UMEME: (20,000)
Pango: (150,000)
Surplus: 140,520
Hapo fungu la kumi bado
Tuico unafanya nini???

Hebu jitoe huko haraka sana...hela iongeze nauli ya watoto
 
Kiukweli bila kutafuta mbinu mbadala,yaani chanzo kingine cha mapato hasa ufugaji na kilimo hasa cha umwagiliaji.pili ni muhimu kubana matumizi ili kuongeza akiba.
 
Similar Discussions

Back
Top Bottom