Jackpiano
JF-Expert Member
- Apr 19, 2025
- 559
- 756
- Thread starter
- #21
“Nashukuru sana kwa heshima na namna ulivyopokea mawazo yangu. Kwangu hii si tu mawasiliano, bali ni nafasi ya kukutana na watu wanaojitafuta kwa akili na roho pia. Sina shida na contact, bora tu tuwe na nia njema, heshima na uhalisia. Nikikutumia, iwe ni kupeana maarifa, kushirikiana fursa au hata kutiana moyo kimaisha — basi ni fursa ambayo naiheshimu. Tuma zako inbox, au nipe njia sahihi tuwasiliane inavyokufaa