Kila mtu ana starehe yake

Kila mtu ana starehe yake

Kuna jamaa alilikoka kisawasawa, alipofika kwao akamkuta baba na mama yake.
Akamwambia baba yake "oya kichaa wangu, huyo kicheche umemuibua wapi tumpige fyucharingi fasta"
Fyucharingi ni mtungo.

hahahah umetisha!
 
Hivi hawa wauza sembe wakiona hivi wanajisikiaje? cc KNM, Masogange Agnes, Jack Patrick, wengine ambao ni maboss natetemeka kutaja. Rais wangu mwenyewe aliogopa. R.I.P Amina Chifupa.
 
Kuna jamaa alilikoka kisawasawa, alipofika kwao akamkuta baba na mama yake.
Akamwambia baba yake "oya kichaa wangu, huyo kicheche umemuibua wapi tumpige fyucharingi fasta"
Fyucharingi ni mtungo.

Bujibuji haki ya nani utatamani ummeze mtoto arudi tumboni. Serikali yetu sikivu ila la madawa ni kiziwi.
 
Back
Top Bottom