Samia atosha tukutane2030
JF-Expert Member
- Apr 7, 2020
- 17,168
- 48,681
Huu ndio ukweli.
Uzae mtoto wa kiume au wa kike lazima atafanana na wewe baba yake.
Baba yetu ana watoto karibu 20, na wote kafanana nao kwa sehemu fulani bila kujali jinsia zao.
Mungu ameamua kufanya hivi ili kumpa baba imani zaidi au uhakika na uhalali wa mtoto wake.
Huwezi kuwa na doubt juu ya mtoto ni wako au umepigwa chenga .
Mungu alijua wanaume sisi ni watata hatuuvumilii usaliti that's why anaamua hivyo.
Mtoto wa mke wako asipofanana na wewe huyo mtoto si wako bali wa mke wako. Mlee tu ili upate thawabu.