Kila msichana ninaekutana naye ananiambia tayari ana mpenzi

Makaura

JF-Expert Member
Oct 17, 2012
892
293
Nimefka umri halali kua na atleast mchumba ama mtu wa karibu mwenye na direction ya kuweza kuolewa.Cha kusikitisha kila nikijaribu kujenga ukaribu kwa wadada baada ya muda wananijibu tayari nina mtu.

Wadau nifanyeje.
 
Sweetheart
Shukrani mkuu ila si itakua na waharibia wenzangu mahusiano yao?
 
Last edited by a moderator:
MO11
Kweli ila bado wananijibu kua wana watu tayari.
 
Last edited by a moderator:
Kuna wanawake wa aina kadhaa.

1. Not attached to anyone
Wameachika au hawajawahi kuwa na uhusiano.

2. Attached but loose
Wapo kwenye mahusiano lakini wapo wapo tu, ukitikisa mti unakula maembe kiulaini.

3. Wapo attached and seriously happy
Kuna kazi ngumu hapa kidogo lakini inawezekana.

Mind you, hakuna mwanamke anayependa aonekane single, inapunguza value.
 
Ukisubiri uambiwe hana mtu utazeeka mpwa amini kua ilo jibu ni mbwembwe tu kama bondia anavyorukaruka kabla ya pambano ili akutishe wewe komaa ila usimfate mwenye ndoa tu,wanaobakia ni gombania goli kila mtu anaweza kufunga pamoja na wewe pia PAMBANA papuchi sio kama kununua nyanya sokoni ooooh...!
 
Pole sana nitaongea kitu kama kikikuuudhi nisamehe ni tofauti kidogo na mitazamo ya wengi may be ndo tutajua tatizo ni lipi


NAOMBA KUJUA:
1.Je wewe ni mfupi sana?
2.Una kipato cha kati au cha chini au cha juu sana.
3.R.O yako unaona ni ya kati au ndogo sana au juu sana.
4.Unaongea sana kila kitu unakitolea judgement?
4.Je una bajeti kali sana?
5.Unajipenda viatu brand nguo kunukia vyema?
 
Back
Top Bottom