Kila Mkuu wa Mkoa wapitie mafunzo,

Kila Mkuu wa Mkoa wapitie mafunzo,

Jambo moja nakubaliana na mleta mada ni kwamba ili kuongeza ufanisi na kuleta professionalism kwenye kazi zao basi wenye natural acquired skills(Talent) inabidi wapewe mafunzo maalum kuwezeshwa kuwa professionals ktk kazi zao.
 
Naona kitu kinachojirudia ni talent kwenye hii topic,sasa mnatumia measure ipi kujua hizo talent?
 
Insight, Initiative, Creativity, Self Driven, Focus, Flexibility, Versatility, Vision, Persistence, Agility, Hardworking, .... and the list goes on.

Mfano umesikia mkuu wa mkoa fulani kijana ameenda China kutafuta wawekezaji waje kuwekeza ktk mkoa wake ili kuleta maendeleo.
 
Embu soma michango ya watu kwenye hii topic?hili la kuleta maendeleo si kazi ya mkuu,smh

Unaamini hichi kigezo cha talent ndicho kilichotumika kupata viongozi wa sasa??mbona wengi hawasikiki Kama wa Dar
 
Kwa hivyo nawewe unaamini kazi ya kuleta maendeleo imeketazwa kisheria au/na kimaadili ya umma kufanywa na mkuu wa mkoa ndani ya mkoa wake?

Unafikiri akipata wawekezaji kwenye kuwekeana mikataba au kutia saini MOU waziri wa mambo ya nje na/au wa viwanda (kama uwekezaji ni viwanda) hawatahusishwa?
 
Unajua pale juu umetaja kada(nafasi) tofauti kama watendaji wa Halmashauri na Wakuu wa Mikoa.

Hizo nafasi kuna sifa tofauti na ndio maana sifa ya kuteua watendaji wa Halmashauri ni ngumu au nyingi na kubwa kuliko mkuu wa wilaya na mkuu wa mkoa. Iwe sifa ya elimu, uzoefu na n.k.

Pamoja na talent kwa hao wa Halmashauri inabidi wawe professionals. Pia uadilifu.

Lakini wakuu wa wilaya hao wengi ni hiyo Talent, Uadilifu na mengine ambayo ni ya kisiasa zaidi, niwe mkweli kwa hili.

Hao wakuu wa wilaya na mikoa ambao hatuoni wakiwa na sifa za talent(kipaji) ni kutokana na mambo ya kisiasa ndio wamepewa hizo nafasi au ukosefu au upungufu wa wenye vipaji. Unakuta wengi ni waadilifu(kwa awamu hii) na sifa chache kati ya zile sifa za mtu mwenye kipaji cha uongozi.

Sasa kwa hali hiyo lazima utaona mapungufu yao hasa kwenye suala la ubunifu(creativity), insight , kujituma na flexibility.

Tatizo la ukosefu wa watu wenye sifa hizo ni kubwa sana hapa Tanzania na Afrika kwa ujumla ndio maana unaona hatuna maendeleo. Hatubuni vitu, wavivu(hatujitumi), hatuna maono, na wagumu kubadilika au kuendana na muda na mazingira.
 
Kwa hivyo nawewe unaamini kazi ya kuleta maendeleo imeketazwa kisheria au/na kimaadili ya umma kufanywa na mkuu wa mkoa ndani ya mkoa wake?

Unafikiri akipata wawekezaji kwenye kuwekeana mikataba au kutia saini MOU waziri wa mambo ya nje na/au wa viwanda (kama uwekezaji ni viwanda) hawatahusishwa?

sijamaanisha hivyo mkuu,mie topic hii nimelenga kuwa assess wakuu wa mikoa wengine,nimelenga kuchunguza nini kinakosekana ndio nikaona labda ni elimu ya maendeleo inaweza kuwa sababu,

kila mkuu akipata hayo mafunzo then tunakua na fair grounds ya kuwa assess..................labda pia talent ina uzito wake,lakini tuwe na kigezo kimoja kitachotumika kuwachagua wakuu wote kwa hizo talents....,lengo tuwe na comparison ya performance zao ambazo itakuwa fair.....
 
Upo sahihi kabisa kwa kuwapa mafunzo kuwaandaa kama professionals tutapata kipimo cha kuwapimia utendaji wao.

Sababu kuwa professional ni lazima wapate seti fulani ya mafunzo ya kuwapa skills ambazo zimeainishwa vizuri.

Tutaanzia hapo kuwapima kwamba zile skills wameshazitumia ipasavyo ktk kutekeleza majukumu yao?

Ni kama vile tutakuwa tumeandaa checklist ya kazi(majukumu) zao.

Sifa ya kupata hiyo nafasi lazima uwe umefuzu mafunzo ya hizo skills (stadi za kazi) husika.
 
Back
Top Bottom