Kila mdada kajazia nyuma, loh

That is mapambo kwa wanaume so lazima yajaradiwe na kunakishiwa kichina china ili yalete attraction kwa wanaume.
 
Eti nasikia ukishika wezere ikiwa 'ngumu' mchina, ikiwa 'laini' kitu natural
 
AAAAAhhhh! kumbe hiyo asilimia 85% ni ya mkoa wa mwanza.wengine tuko huku kilimanjaro haitimii.labda tuiweke kwenye vitambi.
 
hii mada imejaa watoto lol

lakini hivi kweli kuna mchina dawa zinazoongeza viungo vya mwili ama ni porojo za mtaani,kama zipo dawa zitajeni mie natala kuongeza miguu niwe na guu la bia
 

Bandika picha tuthibitishe isijekuwa unawasingizia!!
 

Similar Discussions

Cookies are required to use this site. You must accept them to continue using the site. Learn more…