Kila mdada kajazia nyuma, loh


Hizi reference za ulaya mi huwa zinanichefua! Kwani ina maana kitu kama ulaya hakipendwi ni lazma na sisi tusikipende?Acha kuendekeza ukoloni wewe! Mbona wao ulaya wanapenda ma nido sisi hatusemi? We inaelekea ni mwanamke na umepigwa pasi ndio maana unalalamika sana! Kwenda huko..!
 
Genye zitakuua
 
E bana e, nilidhani ni mimi peke yangu ndo nimeobzevu hii. Inaonesha watz siku hizi eating patterns zimebadilika au kazi za shurba zimekua chache. Marisecha kazi kwenu mtudadavulie nini cha mno?
 
miss strong na wewe unayo ya haja nini hadi tutolio akata akubakue eeeh!

Teh teh teh.......uchafuz tu ndugu yngu.Mtu mwenyewe anamkaribia baba yngu kwa umri ss ni nn hasichokijua?
 
Unazungumzia kama hili hapa au?


Kama ni lenyewe bora wale mlio mashuleni msome maana litawafanya mdisco na wale wakata shingo wakiendesha magari mtasababisha ajali na nyama yenyewe usiipate. Love and cherish what you already have!!! Tamaa zitatumaliza? Kama unapenda large boots utasarandia wangapi? Wachina at work vs nature!!!
 
Someni vijana,,, elimu ndo ukombozi wenu! Achaneni na Makalio,, shauri zenu!!!
 
Jamani hebu naomba ruhusa niweke picha mbili tatu humu ili topic ieleweke vizuri.
 
duh. Siku izi wazee wanataka dogo dogo bana.. na nyie wenyewe saizi zenu mnawapiga danana kisa hawana pesa. Ila kua imara kama ulivyo jiita.
Teh teh teh.......uchafuz tu ndugu yngu.Mtu mwenyewe anamkaribia baba yngu kwa umri ss ni nn hasichokijua?
 
Zogwale ndio unafanye bana.. umenishtua network
 
duh. Siku izi wazee wanataka dogo dogo bana.. na nyie wenyewe saizi zenu mnawapiga danana kisa hawana pesa. Ila kua imara kama ulivyo jiita.

Katika makubaliano haina mbaya...........c unajua kila kitu kulidhia.Moyo jamaniiiiiiiiiiiiiiiiii!
 

We utafeli achananao kwani kwenye sex yanahusika huo ni UGONJWA
 

Similar Discussions

Cookies are required to use this site. You must accept them to continue using the site. Learn more…