Kila mdada ana weakness ya kitu chake

"Weekness" nilipotezea lkn "GS" chuo kikuu!! Hapana kwa kweli nishushe.
 
hii ni kweli,nilisoma na huyu binti na alishakuja kula eat sum more pia kwa rum!
 
Chuo kuna general study?
Mabashite ni mengi
 
Kwahiyo ulikuwa unaona umemla bure au?!


Hizo biskuti hazina gharama?!
Unataka kusema thamani ya uyo mrembo ni biscuits za elf3??!
Kwann hamuaminigi love is priceless rather doesn't cost a thing
 
Unataka kusema thamani ya uyo mrembo ni biscuits za elf3??!
Kwann hamuaminigi love is priceless rather doesn't cost a thing
Kala box ngap?!...kila kitu kina price mambo ya kusema love ni priceless tunadanganya
 
Mtoto wa kiume kujijengea ratiba kabiisa eti ubakula eat some more..... dah natilia mashaka kidogo....

Ni mtazamo tu.... hata we una wako.
 

Similar Discussions

Cookies are required to use this site. You must accept them to continue using the site. Learn more…