Thats true... Hakuna general studiesMkuu, Chuo Kikuu hakuna General Studies. Kuna Development Studies. Mnapotunga, kumbukeni wasomaji wanafikiri pia.
Mkuu huwa unaenda wapi[emoji23] [emoji23] [emoji23]Nitarud
Naenda kupunga upepo baharinMkuu huwa unaenda wapi[emoji23] [emoji23] [emoji23]
HahahaMkuu, Chuo Kikuu hakuna General Studies. Kuna Development Studies. Mnapotunga, kumbukeni wasomaji wanafikiri pia.
Kwa nini?duh safi sana