Kila mapigo wanayopigwa CHADEMA na Serikali ndiyo wanavyozidi kupendwa na kuchanja mbuga

Kuboma

JF-Expert Member
Joined
Jan 31, 2025
Posts
1,466
Reaction score
2,579
Kila Serikali inavyozidisha mateso dhidi ya Chadema kwanza watu wanazidi kuipenda,hii ndiyo necha ya mwanadamu alivyoumbiwa hukipenda kile kinachodhulumiwa, kuonewa, au kunyanyaswa

Watateka watu, watauwa watawafunga watasitisha ruzuku huku wasijue wanazidi kujijenga chuki kwa wananchi

Mfano angalia nyomi za Chadema hamna watu maarufu kama Diamond wala kusombwa na magari,lakini watu wanaisapoti kutokana na yale madhira wanayofanyiwa Chadema na serikali

Ukija upande wa CCM wajitathimini sana, sawa na kusema wanawalazimisha watu wawapende kutokana fursa wanazowapa, Inabidi itoe hongo ndiyo ipendwe na mapenzi yenyewe watu wanaipenda kwa mda,leo hii hakuna Mbunge au Waziri wa CCM anayeweza kujaza watu bila matangazo ya wasanii

Lakini Mtu wa Chadema asiye na cheo chochote kile anaweza kujaza nyomi ileile pasipo wasanii
Hii ni hatari sana kwa CCM mtawaonga hao watu mpaka lini?

Matajiri wako CCM kwa ajili ya kulinda biashara zao

Viongozi wa Dini kama baadhi ya Waisilamu wako kuisapoti CCM sababu ya njaa maana maisha yao siku zote ni magumu tofauti na Mapadri wenye vyanzo vingi vya kuwaingizia kipato
 
Yaani mpaka inafurahisha haina tofauti una mwanamke unamgharamia kwa kila kitu ili akupende
Wakati huyohuyo mwanamke anampenda mchizi ambaye hampi hata kitu,sasa sijui CCM itaonga mpaka lini
 
Kuna hilo lakini pia kuna watu kuichoka tu CCM hata ifanye nini hawawezi kuipenda tena kwa hiyo wanaipenda CHADEMA kama kuikomoa pia.
 
Kinacho waudhi ccm na serikali yao ni kwamba kila wanachofanya ili kuwakomoa chadema kinageuka kua faida kwa chadema na hasara kwao, wasichojua chadema ni wanufaika wakubwa wa mataendo ya hovyo wanayo wafanyia
 
Wanachotakiwa kutambua CCM ni kuwa hawa wanaotekwa, kuuawa, kuteswa na kuonewa ndani ya CCM yenyewe wana; ndugu, jamaa, marafiki, majirani, wakwe na ushemeji juu. Kwa hiyo unakuta watu wanazidi kupoteza imani na chama.
 
Kila Serikali inavyozidisha mateso dhidi ya Chadema kwanza watu wanazidi kuipenda,hii ndiyo necha ya mwanadamu alivyoumbiwa hukipenda kile kinachodhulumiwa, kuonewa, au kunyanyaswa

Watateka watu, watauwa watawafunga watasitisha ruzuku huku wasijue wanazidi kujijenga chuki kwa wananchi

Mfano angalia nyomi za Chadema hamna watu maarufu kama Diamond wala kusombwa na magari,lakini watu wanaisapoti kutokana na yale madhira wanayofanyiwa Chadema na serikali

Ukija upande wa CCM wajitathimini sana, sawa na kusema wanawalazimisha watu wawapende kutokana fursa wanazowapa, Inabidi itoe hongo ndiyo ipendwe na mapenzi yenyewe watu wanaipenda kwa mda,leo hii hakuna Mbunge au Waziri wa CCM anayeweza kujaza watu bila matangazo ya wasanii

Lakini Mtu wa Chadema asiye na cheo chochote kile anaweza kujaza nyomi ileile pasipo wasanii
Hii ni hatari sana kwa CCM mtawaonga hao watu mpaka lini?

Matajiri wako CCM kwa ajili ya kulinda biashara zao

Viongozi wa Dini kama baadhi ya Waisilamu wako kuisapoti CCM sababu ya njaa maana maisha yao siku zote ni magumu tofauti na Mapadri wenye vyanzo vingi vya kuwaingizia kipato
CHAUMA ni watu wa mikakati sana aise dah,kuiua chadema kirahisi hivi, siamini kabisa 🐒
 
Hapakua na sababu ya serikali kuwafanyia hivi chadema, ukikaa na kushauria na wapinzani vizuri kwa kuangalia Taifa kwanza watakusaidia mengi katika uongozi wako ,utajua urekebishe wapi panapovuja, siku zote aliekaribu na wewe kwa manufaa binafsi hawezi kukwambia kila kitu.

Madhalani uyu mama alivyoingia angeweka katiba mpya mezani leo legacy yake ingekua juu sana.
 
CHAUMA ni watu wa mikakati sana aise dah,kuiua chadema kirahisi hivi, siamini kabisa 🐒
Unajitekenya na kucheka.
Hivi kumbe CDM bado ipo tu? Kuna mjinga mmoja alijiapiza kuiua lakini akafa yeye
 
Too much courage is a sign of foolishness
Too little courage is a sign of cowardice
–Aristotle-
 
Kila Serikali inavyozidisha mateso dhidi ya Chadema kwanza watu wanazidi kuipenda,hii ndiyo necha ya mwanadamu alivyoumbiwa hukipenda kile kinachodhulumiwa, kuonewa, au kunyanyaswa

Watateka watu, watauwa watawafunga watasitisha ruzuku huku wasijue wanazidi kujijenga chuki kwa wananchi

Mfano angalia nyomi za Chadema hamna watu maarufu kama Diamond wala kusombwa na magari,lakini watu wanaisapoti kutokana na yale madhira wanayofanyiwa Chadema na serikali

Ukija upande wa CCM wajitathimini sana, sawa na kusema wanawalazimisha watu wawapende kutokana fursa wanazowapa, Inabidi itoe hongo ndiyo ipendwe na mapenzi yenyewe watu wanaipenda kwa mda,leo hii hakuna Mbunge au Waziri wa CCM anayeweza kujaza watu bila matangazo ya wasanii

Lakini Mtu wa Chadema asiye na cheo chochote kile anaweza kujaza nyomi ileile pasipo wasanii
Hii ni hatari sana kwa CCM mtawaonga hao watu mpaka lini?

Matajiri wako CCM kwa ajili ya kulinda biashara zao

Viongozi wa Dini kama baadhi ya Waisilamu wako kuisapoti CCM sababu ya njaa maana maisha yao siku zote ni magumu tofauti na Mapadri wenye vyanzo vingi vya kuwaingizia kipato
Dhahabu lazima ipigwe moto degree 150 kwenye Gold Furnance
 
Back
Top Bottom