Kila la kheri wanaofanya mitihani ya kumaliza Kidato cha nne

Mamndenyi

JF-Expert Member
Apr 11, 2011
37,177
41,070
Congratulation 4.gif

Nawatakia kila la heri wanafunzi wote wa kidato cha nne wanaoanza mitihani yao leo. Pia naomba tumwombea sana kijana wa jirani yangu (Tofa) ambaye leo inabidi akaanze mitihani yake wakati mwili wa baba yake mzazi aliyefariki dunia siku ya J.mamosi unaagwa leo kwenda huko kwao sumbawanga kwa ajili ya maziko.

Tofa MUNGU akutie nguvu sana.
 

Jeji

JF-Expert Member
Jun 28, 2011
1,975
366
duh! mkuu mpe pole sana kijana Tofa, mungu amtie nguvu ktk kipindi hiki kigumu kwake.
 

samito

JF-Expert Member
May 16, 2011
631
175
Pole sana kwa kijana Tofa, Mungu amtie nguvu.

All the best kwa vijana wote wanaofanya mtiani kuanzia jana, Mungu awatangulie pia.
 
0 Reactions
Reply
Top Bottom