four eyes
JF-Expert Member
- Jan 11, 2017
- 904
- 1,400
Hahahahahapana mkuu, yule jamaa ni kukosa tuu ubinadam, alikua kanizd miaka mitano, yan alinipga mpk nikaingia kwenye mto huku nikiogelea kama chura, haikutosha akanifuata humo humo, nikaona isiwe tabu mbio nimejaaliwa nikatoka mbio nikakimbilia nyumb moja hv niliingia mpk chumbn kwa watu bla hodi nikajifcha mvunguni, wakanihfadh mpk nguo zikakauka ndo nikapewa mtu anisindkze home