KILA LA KHERI STD 7: Siku ya kwanza naingia FORM 1 ninakutana na Jamaa wanatema ung'eng'e kama watoto wa Trump

Baba yangu huwa ananihadithia alikuwa anatembea km 15 kwenda shule hapo bado kurudi.
Aise nyie wahenga mlitaabika sana.
mimi muhenga saizi ya kati, nilikuwa natembea mguu kama km 7 ila nilikuwa nashortcut zangu kupita milimani lkm kama 5.
Daladala zilikuwepo ila ILE NAULI hasa wakati wa Kurudi ilisaidia kununua karanga au Muwa wa kusindikizia njiani, alafu company kubwa, stori bandika bandua. unaona kama umetembea mita mia tu.
 
Ila wanaume nyie hata msipotembelewa.
Nyie mnajua kuvumilia.
mtoto akiisha soma hizo shule zenu hata awe wa kiume asipotembelewa ananuna tu.
Dogo langu moja tulikuwa tunalikodia TAX kulipeleka shule wakati hiyo shule ilipo na tulipokuwa ukitembea ni DAKIKA5 tu.
Tatizo siku ya kufungua wenzake wote wanaletwa nan Magari. Kwa hiyo na yeye alikuwa anauzishwa sura kidogo ili asipanic.
hahah
 
M ninachokumbuka ni siku ya kwanza kuingia darasa la kwanza baada ya kumaliza vidudu, nilienda na ubabe wangu wa vidudu matokeo yake nilirud nyumb na manundu ya kutosha usoni, Mather aliumia sana ila kuanzia bro , sister na mshua kila wakiniangalia nilivyovimbishwa wanakufa kwa kicheko. Yule jamaa alienipigaga drsn alikua hamnazo ila sijui kaptia njia gan huko asaiv ni mjeda, kwa kpgo kile JKT limepata mtu hawakukosea
 
mkuu kweli
 
mkuu ulikuwa kibonge nini?
 
Back
Top Bottom