Kila la heri Morocco team

Kila la heri Morocco team

Palestine Will be free

JF-Expert Member
Joined
Sep 10, 2016
Posts
6,990
Reaction score
6,618
Kila la heri Morocco team, wengine tupo nyuma yenu dhidi ya Portugal, wale maadui na wasiowapenda Morocco/waarabu haiwahusu mada hii.

Kila la heri ndugu zetu Morocco, tupigieni hao ndugu zao brazili warudi nyumbani kwao haraka kama ilivyo kwa croatia jana wamemfukuzisha kocha wao tite, leo ni zamu ya ndugu yao (Portugal)

God bless Moroccans(The Atlas)
 
Wakitoboa mniite mbwaaa nimekaa pale👉
 
Haa Thread Ya Kijembe, Nongwa, Nuksi, Ukakasi
Haa Haa Yaani Wameze Wembe, Tunza Maneno
 
Back
Top Bottom