Kila kitu used hii nchi( hadi ajira used)

Kila kitu used hii nchi( hadi ajira used)

ISAAC11

Member
Joined
Jan 12, 2013
Posts
94
Reaction score
12
Mie ni mwalimu ila kutokana napewa mshahara USED basi inanilazimu nitoe ELIMU USED ..maaana watoto wetu wamekuwa kama bidhaa za mchina wa shule za kata au kiswazi tunaita (MAGOMA MOTTO) basi ni mwendo ule ule wa kuwapatia elimu used maana ss walimu tukiandamana wazazi kazi yao kutuangalia kwenye TV bila kuchukua hatua so ni mwendo wa MCHINA hela ndogo bidhaa hafifu aka mshahara mdogo watoto wanepewa elimu USED ..WALIMU OYEEEE!!! MTWARA OYEEEEE!!CCM OYEEE !!! MAISHA BORA OYEEEE !!! kila kitu OYEEEEE
 
hahaa, pole mkuu, naona maisha yamekukamata kweli , ila sali sana hayo ni mepepo tu yakemee,
 
MZEE MWALI sio kama nipo fustrated ila najaribu kuwambia watanzania kuwa shule za kata tunatoa Elimu Used kwasababu Mshahara ni mdogo yaani kama mchina na simu zake au sio Mzee MWALI ..ndio nchi hii ya kikwete mie naridhika na mshahara wa bure cuz siwezi kusugua chaki kwa mshahara wa kilo 2 na 50
 
kwa hiyo mpaka kieleweke, duh! hayo mauaji ya kimya kimya ni hatari
 
Mie ni mwalimu ila kutokana napewa mshahara USED basi inanilazimu nitoe ELIMU USED ..maaana watoto wetu wamekuwa kama bidhaa za mchina wa shule za kata au kiswazi tunaita (MAGOMA MOTTO) basi ni mwendo ule ule wa kuwapatia elimu used maana ss walimu tukiandamana wazazi kazi yao kutuangalia kwenye TV bila kuchukua hatua so ni mwendo wa MCHINA hela ndogo bidhaa hafifu aka mshahara mdogo watoto wanepewa elimu USED ..WALIMU OYEEEE!!! MTWARA OYEEEEE!!CCM OYEEE !!! MAISHA BORA OYEEEE !!! kila kitu OYEEEEE
Na wewe mwenyewe na mpenzi wako wote used
 
MZEE MWALI sio kama nipo fustrated ila najaribu kuwambia watanzania kuwa shule za kata tunatoa Elimu Used kwasababu Mshahara ni mdogo yaani kama mchina na simu zake au sio Mzee MWALI ..ndio nchi hii ya kikwete mie naridhika na mshahara wa bure cuz siwezi kusugua chaki kwa mshahara wa kilo 2 na 50

Na polisi naye aseme vivyo hivyo.

Na na na na....!


Ila kumbuka kama uliupenda ualimu basi as you fight for your rights you will naught pile the burden on your students!

Hao unaowanyima haki yao ya msingi kwa wewe kunyimwa haki yako ya msingi ndio watakaokuwa wa kwanza kukukana kwani hawakuona lolote la maana kutoka kwako!

Juzi wakati wa bajeti ya wizara ya mambo ya ndani waziri alisema jambo moja, (nasummarize alichosema- not actual words) " Tunatambua kuwa mshahara wa polisi ni mdogo, na maslahi ya askari wetu ni madogo/duni na ni kweli hiyo imekuwa sababu kubwa ya wao kuchukua rushwa LAKINI katika uhaba wa yote haya haihalalishi wao kuchukua rushwa wala kuwabambikia makosa watu wasio na hatia."

Na wewe mwalimu likewise...!

tafuta (kwa wakati huu ambapo bado mnapigania haki yenu) alternative ways za kutumia ulichonacho kufanikisha malengo yako. You ahve the brain na umeenda shule..be the difference BUT give your best to your students, in the end that is all that matters and gives you satisfaction!

Ila kama ulienda ualimu au upolisi kwa kukosa dili mtaani au kufeli mitihani...then you are in for even greater disappointments in life my brother.

Ni hayo tu!
 
Mie ni mwalimu ila kutokana napewa mshahara USED basi inanilazimu nitoe ELIMU USED ..maaana watoto wetu wamekuwa kama bidhaa za mchina wa shule za kata au kiswazi tunaita (MAGOMA MOTTO) basi ni mwendo ule ule wa kuwapatia elimu used maana ss walimu tukiandamana wazazi kazi yao kutuangalia kwenye TV bila kuchukua hatua so ni mwendo wa MCHINA hela ndogo bidhaa hafifu aka mshahara mdogo watoto wanepewa elimu USED ..WALIMU OYEEEE!!! MTWARA OYEEEEE!!CCM OYEEE !!! MAISHA BORA OYEEEE !!! kila kitu OYEEEEE
kazi ya ualimu ni wito. nakushauri achana na hiyo kazi kwani ukiwa na mawazo kama hayo na ukifanya hivyo unajiandaa na nuksi maisha yako yooote hutofanikiwa. kila mtoto uliyemlostisha nuksi yake itakuandama.
jikerebisheeee
 
badilika ubadilishe umma. kwani maendeleo ya umma au mabadiliko yake yanaanza na individual
 
Kaka hats Isaac Newton alipata idea akiwa ktk mazingira mazuri ww unaingia kufundisha umekula muhogo na chai ya rangi kuona tena msosi hadi usiku unadhani utafundishaje Mie siongelei mshahara Bali kiujumla maisha ya mwalimu ,polisi yote yamefanywa kuwa used
 
Nyie mnabwabwaja tu cuz mpo maofisi mnapigwa AC njooni huko magoma motto muone mziki watoto 20 wanachangia daftari moja
 
unashangaa used siku hizi mpaka ndoa used. heli yao wa zamani walikuwa wanatumia genuine products kutoka kwenye original boxes
 
Back
Top Bottom