kuchomana visu,,,ebu subiri kwanza kwanini mrudiane!?HIvi jamani kurudiana na mpenzi ambaye mliachana kwa kutukanana ,unahisii badae mtaachana kwa kufanyiana nini???,πππππππ
Wapi wanapopatikana na mimi nikatafute?Huo ni uzembe binafsiii na ubinafsi imewajaaa kwnn msitafte
Popote unaweza wapataWapi wanapopatikana na mimi nikatafute?
ππMapenzi yafutwe.....