Surya
JF-Expert Member
- Jun 7, 2015
- 9,761
- 15,578
Nashauri wanaokaa single tuanze kuwanyanyapaa hadi wawe double..
kuwa single sio kitu kizuri hata kidogo, leo asubuh nipo dukani kwa shirima kuna mwamba kavaa Pensi nyepesi kaja dukani mkuyenge umevimbia kwenye Pensi, akasimama, sasa kuna bidada alikua anahudumiwa dukani akawa wa kwanza kumsalimia msela, ila punde Bidada alipoona Uvimbe wa mkuyenge akaanza kumzingua jamaa kuwa arudi geto akavae..
Kiukweli yule bidada hormone za kike zilimsisimka sana.
Nikahis ukute dada wa watu yupo single muda huo hana msela wa kumkaza, binafsi nilitamani kumfuta machozi ila ilikuwa nje ya uwezo wangu 😁
Binafsi hata kama nipo busy na kazi au sina hela ya kuonga, nimepanga nitatafuta walau warembo wawili tuwe tunapasha pasha.
Mapenzi ni nipe nikupe.
1. Ujuzi wowote au thamani yoyote uliyonayo mwenza wako anahitaji kuhudumiwa na wewe hata kama sio pesa, mapenz hayatak uvivu
2. Kama unajua kupika, ukipata nafasi pika vizuri hata kwa mchepuko, huwezi jua nani atasema nakuowa.
3. Kuimba na kucheza, kuna wanaume tunapenda wadada wanaojua kukatika mauno, weka mziki geto mchezee bwana yako. Aibu hizo ni dhambi.
4. Umbea, Jamani na sie wanaume tunapenda umbea, umetoka job siku hiyo hujapata chochote maybe, tukionana usiniombe hela wewe leta story za umbea zisizo na faida tupoteze muda uwende siku iishe.
5. Tuambiane mazuri, na hata mabaya yasitunyime raha. Shida ni kwa kila mwanadamu, na tarajia mazuri mengi kila siku.
6. Tupunguze usela jamani, Mapenzi na usela ni kutia chumvi kwenye pera
Ni hayo tu wajameni, tujitahidi tuwe na wapenzi, Mwanamke unaenda 30 lakini bado unalingia wanaume tutakupima sasa hawa ndio wasagaji mtaani huku wanasaga hadi mabinti wadogo.
Usijipende sana, tafuta mmoja walau msafi msafi nenda kabenjuane nae, usingle ni uchawi amini hilo.
Walau ukifa watu wakukulia wawepo kwa kukukumbuka na mengi.
Usiseme hadi nifikie malengo fulani ndio nitatafuta mwenza, hapana
ukifa je ???
Mapenzi ni leo, furaha zote ni leo bila kujali ndoto zimefikia wapi.
Mapenzi yanaumiza ukiwa sio mzoefu ila ukizoea tu, huwezi umia sana hasa ukijua wewe ndio ulimuhudumia vizuri mwenza wako.
Narudia tena Aibu ni uchawi, Adamu na Hawa kabla ya kula Tunda hawakuona Aibu, ila dhambi ilipoingia duniani ndipo Aibu zikaanza.. Aibu ni Kupungukiwa Hekima na Kujiamini.
Jiamini hakuna mtu mbaya akiwa uchi. 😁