Kila kitu juu!

Kila kitu juu!

ZENITH

JF-Expert Member
Joined
Feb 5, 2012
Posts
1,057
Reaction score
973
Naenda dukani nakuta sukari bei juu>>Naenda kituo cha mafuta,mafuta nayo bei juu>>Naenda stendi kuu ubungo,nauli nazo juu>>Kama haitoshi vile naenda kwa bosi ofisini.........naambiwa mshahara wangu nao juu,dah sijui itakuwaje mwaka huu,kila kitu juu!
 
...naenda kujitambulisha naambiwa mahari bei juu
 
Naenda baa naambiwa bia bei juu>>>naenda kanisani naambiwa sadaka nayo bei juu
 
Kila mshichana naemtongoza ananambia sitamuweza coz yeye ni matawi ya JUU..
 
Mwe kila kitu juu,>>wenzebo za machangudoa nazo bei juu.
 
unganisheni comments toeni singo,mtauza kishenzi wakuu,maana comments zimekaa ki-songi songi tupu.
ALAN MAPIGO anawasubili.
 
kibaya zaidi ulipoambiwa mshahara juu na wewe ukaenda kupanda juu ya mnazi kule uswahilini ili uwapigie chabo wake za jirani yako wakiwa kwenye bath za passport size. kwahiyo nawewe ukawa juu
 
unganisheni comments toeni singo,mtauza kishenzi wakuu,maana comments zimekaa ki-songi songi tupu.
ALAN MAPIGO anawasubili.
we ndiye uliyeandika juu ya paper ya f4 bongo fleva ukaruka na 4 kwahiyo nawewe uko juu
 
Naenda dukani nakuta sukari bei juu>>Naenda kituo cha mafuta,mafuta nayo bei juu>>Naenda stendi kuu ubungo,nauli nazo juu>>Kama haitoshi vile naenda kwa bosi ofisini.........naambiwa mshahara wangu nao juu,dah sijui itakuwaje mwaka huu,kila kitu juu!

Mshahara kuwa juu si itakuwa ni bakharaka tena hiyo?
 
Scanning...100%
No treat found
mwanahasha nae yupo juu,babake kampatia mtaji.
 
Back
Top Bottom