MUME: "kila siku mie nakushangaa sana mara useme TV yangu, gari langu, chumbani kwangu, watoto wangu.
Sisi ni mume na mke, kila kitu ni chetu, jirekebishe bwana."
Mke akajifanya yupo kimyaaaa kama hasikii akaendelea na shughuli yake ya kupekua pekua kabatini.
MUME Akang'aka sasa huko kabatini unatafuta nini??
MKE: "Sketi Yetu"