kila kitu bahati mbaya

kila kitu bahati mbaya

wakitei

Member
Joined
Jul 18, 2011
Posts
77
Reaction score
4
police wameua watu arusha wakasema : Ni bahati mbaya;wakaua Nyamongo wakasema Ni bahati mbaya : wakaua Tabora wakasema "Bahati mbaya "wakaua Mbalali wakasema : bahati mbaya umeme hdarura isiyoisha bahati mbaya umekatika mwanza siki sita usiku na mchana wakasema Bahati mbaya tumechoka kila siku bahati mbaya nawuliza lini itakuwa bahati nzuri ?
 
Ukitaka kupata "bahati nzuri" chagua CDM 2015!!
 
wasomi mwandikieni okampo aje huku tz la sivyo tutamalizika.
 
Vigeugeu! Paka wangu kigeugeu,bosi wangu kigeugeu,bibi yangu kigeugeu,dereve wangu kigeugeu!!wananigeukia!!
 
Back
Top Bottom