herzegovina
JF-Expert Member
- Oct 28, 2015
- 3,129
- 4,712
Walilamba mkuu..!hata Nassari alilamba pamoja na yulee meya Kalist lazaro ndio maana hawapapariki sanaHawakupata chochote mkuu, walipigwa changa la macho na ni full kilio.
Walilamba mkuu..!hata Nassari alilamba pamoja na yulee meya Kalist lazaro ndio maana hawapapariki sanaHawakupata chochote mkuu, walipigwa changa la macho na ni full kilio.
Nasari asubir ukuu wa wilaya jpm anamkubali sana huyu mwambaNASSARI VIPI
Makonda na huyu wanaweza kuja kupewa ubunge wa kuteuliwa kwenye wale wabunge kumiNasari asubir ukuu wa wilaya jpm anamkubali sana huyu mwamba
Nasari asubir ukuu wa wilaya jpm anamkubali sana huyu mwamba
Usimdharirishe Rais, yaani ampe u DC mtu asiye na msimamo, muongo muongo, aisiye mkweli kwa wananchi? Nassari ameharibu feature yake. haaminiki tena! JPM hana cha kupoteza kama wanannchi watamwamini wamrudishe hana sababu ya kuchafuliwa na hawa ng'ombe waliokatwa mkia, atataka amalize salama na wanaCCM kindakindaki wamheshimu akiwa amestaafu!Nasari asubir ukuu wa wilaya jpm anamkubali sana huyu mwamba