Kila Jimbo la "Muunga mkono juhudi" limebana. Asanteni sana magwiji wa CCM mlioamua kurudi

lile igizo la Chamwino wenyeji wakilaumu wassliti kupewa ubunge halikuwaingia? washatapeliwa hawa. Polepole hapokei tena simu zao
 
Kwa
Sijaona mnachofurahia.... Uchaguzi bado haujafanyika na hamjajua Rais anataka nani awe nani...wekeni akiba ya maneno na acheni ubwege. Unashangilia jambo la kijinga wakati maamuzi hayajafanyika. Na huoni kwa kufanya hivi ni kama unamshinikiza rais sasa amteue huyo mhusika ili kuondoa mashaka kwa wengine? Tulieni kunyweni mtori nyama zipo chini.
Kwamba wewe una akili kuliko mtoa post??uwe na aibu
 
vipi tena? mbona na wewe unapunic wakati uchaguzi haujafanyika? Wanakuumiza moyo?
Sijaona mnachofurahia.... Uchaguzi bado haujafanyika na hamjajua Rais anataka nani awe nani...wekeni akiba ya maneno na acheni ubwege. Unashangilia jambo la kijinga wakati maamuzi hayajafanyika. Na huoni kwa kufanya hivi ni kama unamshinikiza rais sasa amteue huyo mhusika ili kuondoa mashaka kwa wengine? Tulieni kunyweni mtori nyama zipo chini.
 
Punic ndo nini 😳😳😳😳😳 nchi hii inahitaji sana watu kupata elimu.kama kuandika tu hujui utaweza kuunda hoja kweli?

vipi tena? mbona na wewe unapunic wakati uchaguzi haujafanyika? Wanakuumiza moyo?
 
Yani dili limetiki 100 asilimia, kila tunachopanga na kutarajia kina tiki. Hatua ya kwanza kabisa tayari tumefanikiwa kwa asilimia zaidi ya 96. Mambo yanaenda bam bam.

Tunasubiri hatua ya pili mchujo wa kura za maoni na hatua ya tatu vikao vya maamuzi ambayo yote hayo yameshaonyesha kufanikiwa baada ya hii hatua mama tuliyomaliza.

Acheni Mungu aitwe Mungu.

Please wanaccm jitokezeni kwa wingi sana siku ya kesho ni mwisho. Gombeeni Kwan wingi na kama ikibidi kesho hata kazi usifanye hadi ukihakikishie kuwa una form

Peoplesssssssssssssssss......What a deal men! Yani hata mgutuke, too late my friends! Tumeshafanikiwa lengo letu! Acha leo nilipe kodi kwa furaha! Nalipa kweli kweli!

cc mrangi , Mshana Jr
USICHOKIJUA ni kuwa kuna wengine walikula mpaka bilioni mbili hivyo hata wakikatwa POA TU maana wasingezipata hata kama wangekaa upinzani na kushinda tena.

Hukusikia Lema alisema walimfuata na TSH ngapi??
 
Hawakupata chochote mkuu, walipigwa changa la macho na ni full kilio.
 
Back
Top Bottom