Kila demu ananiambia ngoja niende uwani kwanza

nadhani hao kumi uliokutana nao walijisaidia vyoo ambavyo havina maji, sasa ulipotaka gemu wakaona wakachambe kabisa
 
Ongeza wengine 10,fuata the same procedure kuanzia mwanzo mpaka wanapoomba kwenda chooni,ukishawaruhusu uwafate ili ujue wanafanya nini huko!!
 
Wakuu naomba mnipe mawazo

Ni hivi, mimi nilikuwa nafanya utafiti kujua ni kitu gani hasa msichana hukifanya muda mfupi kabla ya kumegana? Story yenyewe ni hivi, unamuita msichana kunako maeneo ya faragha, mnapiga story wee hata saa nzima.

Sasa ukiwasilisha tu hoja ya kutaka mmegane halafu muondoke yeye anakwambia ngoja aende uwani kwanza. Nauliza: kwanini hivyo na huko uwani wanakwenda kufanya nini?

Mimi nimekutana na hali hii kwa mademu kama 10 hivi. Na kila alieniambia aende uwani kwanza nilimruhusu lakini sikummega. Naomba wakuu mnielewe kuwa mimi siyo kicheche/mchepukaji ila nilikuwa nafanya utafiti tu jamani.

Mkuu, wanaenda uwani huko kutumia mchekpko kukinga mimba.
 
Mara ingine uenda ku-empty bladder ili walau during that procedure wawe confortable,pia uenda kusafisha maeneo husika walau kupunguza ****!HUWEZI KUWA NA MCHEPUKO KAMA HUNA NJIA KUU.
 
bongo joto, afu wanatupia jeans juu, unadhani huko chini kutakua na hali gani?? hata hewa hakuna hakupumui akikuvulia fastafasta jasho lile ni kama uchafu, ngoja aende kwanza akasafishe.... hilo mbona hata mtu ambaye hajawahi fanya uzinzi anajua!!

Mwisho:: Punguza uzinzi, ngono na wadada 10 huoni aibu...
 
Back
Top Bottom