Wengi huchukulia mafanikio ya kiuchumi kama baraka kubwa kuliko zote..
Kuna waliobarikiwa elimu lakini uchumi mbovu... Familia nzima imejaa wasomi tena wa kaliba mbalimbali lakini maisha yao hayaeleweki
Kuna waliojaaliwa watoto, yani kwao uzazi sio ishu... Wakigusa tu mtoto... Hii ni baraka, lakini maisha yao ni ya kuungaunga,
Kuna familia zimejaaliwa utajiri na ukwasi wa kutisha lakini kati yao hakuna upendo.. N roho mbaya mwanzo mwisho
Asili ya baraka na laana imo kwenye misahafu na ina historia ndefu huku kuliwa na mifano mingi.
Mfano mmojawapo maarufu sana ni mfano wa mfalme Suleiman... Mtu huyu katika mazungumzo yake na Mungu (kwa njia ya maono na unabii) aliulizwa anataka nini toka kwa Mwenyezi Mungu... Yeye akaomba hekima...! Wengi wetu leo hii wanaomba utajiri, tembelea yale makanisa ya kileo utaona...!
Mungu akampa mfalme Suleiman HEKIMA kama alivyoomba lakini akaongezewa na utajiri... Inasemekana mpaka leo hii hakuna aliyeweza kumfikia Suleiman kwa utajiri na ukwasi
Laana ndani ya baraka za Suleiman mfalme ni ipi?
Dhambi ya asili... Chini ya jua hakuna kiumbe mkamilifu la hata mmoja... Wote ni watenda dhambi na wamepungukiwa na utukufu wa MUNGU
Pale kati patamu.... Suleiman pamoja na hekima zote na utajiri uliotukuka lakini alikuwa dhaifu mno kwenye swala zima la masukubasi.. Inasemekana alikuwa na wake 300 wa ndoa na masuria (nyumba ndogo) idadi kama hiyo.. Ama pengine kuzidi.... Lakini akaja kumtamani mke wa mjakazi wake.... LAANA! na ili apate kummiliki kikamilifu nadhani alimfanyia mjakazi wake figisu mbaya
Zitumie vema baraka na vipawa vyako, usipotoke na kuanguka mazima... Makinika kila penye baraka kuna laana....
Shukran mkuuTayari nshakutag
Mkuu ungefanya kuireply ili ionekane tena, napata tabu kdg kuipataTayari nshakutag
Ok comredyTayari ingia habari mchanganyiko
Kwa muktadha wa mada na uhalisia wake (binadamu) chini ya mbingu hakuna mwanadamu mkamilifu la hata mmoja na kila mmoja wetu ana udhaifu wake.... Hivyo pamoja na hekima kuu aliyojaaliwa bado udhaifu wa kibinadamu haukumwepukaLakini akaja kumtamani mke wa mjakazi wake.... LAANA! na ili apate kummiliki kikamilifu nadhani alimfanyia mjakazi wake figisu mbaya
nilikuwa nataka nijue... hiyo HEKIMA aliyopewa.. ni ipi
Kaka mkubwa kwanza hongera kwa mada nzuri. Hapa nataka niseme kitu.Wengi huchukulia mafanikio ya kiuchumi kama baraka kubwa kuliko zote..
Kuna waliobarikiwa elimu lakini uchumi mbovu... Familia nzima imejaa wasomi tena wa kaliba mbalimbali lakini maisha yao hayaeleweki
Kuna waliojaaliwa watoto, yani kwao uzazi sio ishu... Wakigusa tu mtoto... Hii ni baraka, lakini maisha yao ni ya kuungaunga,
Kuna familia zimejaaliwa utajiri na ukwasi wa kutisha lakini kati yao hakuna upendo.. N roho mbaya mwanzo mwisho
Asili ya baraka na laana imo kwenye misahafu na ina historia ndefu huku kuliwa na mifano mingi.
Mfano mmojawapo maarufu sana ni mfano wa mfalme Suleiman... Mtu huyu katika mazungumzo yake na Mungu (kwa njia ya maono na unabii) aliulizwa anataka nini toka kwa Mwenyezi Mungu... Yeye akaomba hekima...! Wengi wetu leo hii wanaomba utajiri, tembelea yale makanisa ya kileo utaona...!
Mungu akampa mfalme Suleiman HEKIMA kama alivyoomba lakini akaongezewa na utajiri... Inasemekana mpaka leo hii hakuna aliyeweza kumfikia Suleiman kwa utajiri na ukwasi
Laana ndani ya baraka za Suleiman mfalme ni ipi?
Dhambi ya asili... Chini ya jua hakuna kiumbe mkamilifu la hata mmoja... Wote ni watenda dhambi na wamepungukiwa na utukufu wa MUNGU
Pale kati patamu.... Suleiman pamoja na hekima zote na utajiri uliotukuka lakini alikuwa dhaifu mno kwenye swala zima la masukubasi.. Inasemekana alikuwa na wake 300 wa ndoa na masuria (nyumba ndogo) idadi kama hiyo.. Ama pengine kuzidi.... Lakini akaja kumtamani mke wa mjakazi wake.... LAANA! na ili apate kummiliki kikamilifu nadhani alimfanyia mjakazi wake figisu mbaya
Zitumie vema baraka na vipawa vyako, usipotoke na kuanguka mazima... Makinika kila penye baraka kuna laana....
Hujawahi kuniangusha pamoja na tofauti zetu kiimani, ndani ya intelligence tu wa moja... Ngoja nisake ushahidi nikiukosa nitasema nimeukosaKaka mkubwa kwanza hongera kwa mada nzuri. Hapa nataka niseme kitu.
Ukisema laana hapa naona umeipa uwanja mkubwa sana kuliko uhalisia wake.
Laana hawawezi kuizungumzia wakanamungu sababu hawana elimu nayo,laana ikizungumziwa na watu wa dini ndio mahala pake.
Nini maana ya laana ?
Kwa ufupi laana ni kufukuzwa nje ya rehma za muumba au kutolewa nje ya rehma za muumba. Laana hutokea baada ya mtu kuchupa mipaka katika kukosea,na si kila laana inamfikia mja. Hapa nitatoa mifano au mfano.
Tukimzungumzia Ibilisi laana za Mola zimfikie,huyu ametolewa nje ya rehma za Mloa wetu muumba muumba.
Huwa tunasema wamelaaniwa wale wanao kula mali za ma yatima,na wamelaaniwa wale wenye kubadili maumbile,na wame laaniwa wale wenye kudanganya kwenye mizani yaani vipimo.
Tukija katika suala la mali na vizazi na mengine kama uliyoyasema huko juu,hayo yote yanaingia katika mtihani au kutahiniwa na Mola.
Huwa tunaambiwa mali,wanawake na watoto ni mtihani kwetu. Kwa maana tukivitumia vibaya neema hizo lazima tutaangukia katika madhambi,madhambi kivipi ?
Endapo ukizitumia mali ulizo pewa kwa kufanya maovu hiyo sio laana bali ni mtihani unaokupelekea katika kufanya madhambi.
Ukiwa mzinifu hali kadhalika,ukipewa kizazi usipokilea na kukipa mafunzo mazuri ujue huo ni mtihani na utakuja kuulizwa juu ya wale au vile unavyovisimamia.
Swali ni wa kina nani wana laani ?
Laana ina laaniwa na viumbe mpaka wa baharini wanatoa laana.
Ama kuhusu suala la mtume Suleyman,yeye aliruhusiwa kuoa mpaka vijakazi na haikuwa kosa wala hatusemi alikosea.
Ila hili la kuhusu kumtamani na kumfanyia figisu msaidizi kisa mwanamke,hapa unatakiwa utupe ushahidi.
Mkuu ivi mwisho wake mfalme Suleiman ulikuwa ni upi alikufa na utajiri wake au ilikuwa namna ganiKwa muktadha wa mada na uhalisia wake (binadamu) chini ya mbingu hakuna mwanadamu mkamilifu la hata mmoja na kila mmoja wetu ana udhaifu wake.... Hivyo pamoja na hekima kuu aliyojaaliwa bado udhaifu wa kibinadamu haukumwepuka
HEHEHE MBUNYE sio ya mchezo mchezo... haichagui... uwe tajir au nabii.. yenyewe inakuvuta tu...Kwa muktadha wa mada na uhalisia wake (binadamu) chini ya mbingu hakuna mwanadamu mkamilifu la hata mmoja na kila mmoja wetu ana udhaifu wake.... Hivyo pamoja na hekima kuu aliyojaaliwa bado udhaifu wa kibinadamu haukumwepuka
Tuko pamoja bro !Hujawahi kuniangusha pamoja na tofauti zetu kiimani, ndani ya intelligence tu wa moja... Ngoja nisake ushahidi nikiukosa nitasema nimeukosa
Kama kumbukumbu zangu ziko poa aliyemtamani na kumchukua mke wa mtumishi wake kwa kumfanyia zengwe afe hakua Suleiman Bali alikua babake na Suleiman (Daudi ) ndo alifanya ivoo kwa askari wake aliitwa uriaWengi huchukulia mafanikio ya kiuchumi kama baraka kubwa kuliko zote..