Kila anayenitongoza namwona hafai

Kila anayenitongoza namwona hafai

jinaless

Member
Joined
Jan 1, 2013
Posts
43
Reaction score
4
naamini wote mu wazima wa afya.

kama kichwa kinavojieleza hapo juu naombeni ushauri wenu nifanye nini coz kila anayenitongoza namuona hafai hata kama ni mtu mwenye hela zake.

mimi huwa nina tabia ya kuangalia sana tabia ya mtu sasa kila anayenifuata naona hana vigezo na wengi nawaona wananitamani tu.

hii hali inanitesa sana kwamaana najikuta wanaonifuata ni wengi lakini bado upweke unanitesa.

mawazo yako yatakayojenga please.
 
uliwahi umizwa hapo nyuma?....

kama jibu 'ndio'

hilo ndio tatizo hakuna kingine, cha kufanya sahau na uangalie ukurasa mpya
 
Weka vigezo vyako upate bwana kabla ya masaa 24 jf kuna vidume wengi
 
nafikiri kinachokutatiza ni kuwa so strict na vigezo vya unayetaka awe mumeo lakini ukweli ni kwamba huwezi kumpata mtu mkamilifu au mwenye vigezo vyote unavyovitaka wewe,kwa hiyo weka sifa za msingi tu na mengine legeza yale unayoona hayana sehemu katika kujenga familia na mtu huyo yapuuzie ila mazito kama uasherati ulevi wa kupindukia na tabia zisizorekebishika kaza kamba mama usije jutia hapo baadaye.
 
usimchunguze sana bata hutamla .... and no one is perfect in this world
 
Muombe mungu wako mwanaume sio nguo au nyanya.kuna mambo mengi yapo ndani ya ndoa.unaweza pata tabia usiku ikawa ni shida.
 
naamini wote mu wazima wa afya.

kama kichwa kinavojieleza hapo juu naombeni ushauri wenu nifanye nini coz kila anayenitongoza namuona hafai hata kama ni mtu mwenye hela zake.

mimi huwa nina tabia ya kuangalia sana tabia ya mtu sasa kila anayenifuata naona hana vigezo na wengi nawaona wananitamani tu.

hii hali inanitesa sana kwamaana najikuta wanaonifuata ni wengi lakini bado upweke unanitesa.

mawazo yako yatakayojenga please.

pole sana dada yangu, hakuna mtu mkamlifi, na hata wewe si mkamilifu pia, kuto kuvumilia mapungufu ya mtu pia ni upungufu, na mtu akikufata haina maan wewe umekidhi vigezo vyote...hakuna maisha ya uhusiano yaliyo nyooka, angalia mazuri ya mtu kama yana zidi ubaya unaweza kuungana naye
 
tatizo lako bidada wewe ni mzuri sana na chaguo lako unataka mwanaume ambaye unaendana nae awe na sifa unazozitaka wewe ambacho ni kitu kisichowezekana hao wenye sifa unazotaka ni wachache mno utajikuta mda unaenda bado hujapata mme hilo ni tatizo la kiintelgensia unahitaji mawazo mbadala yenye high effinity,chamsingi ni pm nikupe ushauri mzuri
 
pole sana dada yangu, hakuna mtu mkamlifi, na hata wewe si mkamilifu pia, kuto kuvumilia mapungufu ya mtu pia ni upungufu, na mtu akikufata haina maan wewe umekidhi vigezo vyote...hakuna maisha ya uhusiano yaliyo nyooka, angalia mazuri ya mtu kama yana zidi ubaya unaweza kuungana naye

Kweli kabisa kabisa!
 
Njoo kwangu unachotaka nitakupa..

Just singing
 
naamini wote mu wazima wa afya.

kama kichwa kinavojieleza hapo juu naombeni ushauri wenu nifanye nini coz kila anayenitongoza namuona hafai hata kama ni mtu mwenye hela zake.

mimi huwa nina tabia ya kuangalia sana tabia ya mtu sasa kila anayenifuata naona hana vigezo na wengi nawaona wananitamani tu.

hii hali inanitesa sana kwamaana najikuta wanaonifuata ni wengi lakini bado upweke unanitesa.

mawazo yako yatakayojenga please.

Njoo pm faater kabla hujawahiwa....
 
Ww endelea kuchagua tu na kuwakataa dada ipo sku utajua uzur kumbe unamwisho.

Hapo itafika kipindi wataanza kukuona unanyodo na wataanza kukukwepa. Sasa hapo ndipo utakapozisoma plate namba .

Umri umezidi kwenda na hawakutongoz tena kila atakayekuwa anakuja atakuwa anagonga na kusepa.

Acha kuchagua usifikir ww unavyofuatwa kuwa ndio mzur kuliko waote.

Kama unafikir tunakudanganya nenda kakae na mama yako atakupa darasa.

Hakuna binadam aliyekuwa kamili kwa kila sifa unazotaka.

Kuna wenzako walikuwa na nyodo kama zako za kusema hawana sifa. Lakin sasa amegonga miaka 33 hakuna hata mwanaume wa kumtaka kumuoa sasa anahaha kusaka yeyote aliye tayar huku umri wa kuzaa nao unamtupa mkono. Kila akitongozwa anataka harusi iwe wiki ijayo amechanganyikiwa.
Sasa hayo ndiyo unayasubir
 
Wengi wa walio kwenye ndoa huwa najiuliza walikubalianaje kuishi pamoja? Mbona kama hawaendani? Kumbe hapa ni kwamba kila mtu anacho alichokiona kwa mwenziwe kizuri kinaficha kile kibaya.

Punguza chagua chagua maana itazidisha ''hit n' run''.
 
naamini wote mu wazima wa afya.

kama kichwa kinavojieleza hapo juu naombeni ushauri wenu nifanye nini coz kila anayenitongoza namuona hafai hata kama ni mtu mwenye hela zake.

mimi huwa nina tabia ya kuangalia sana tabia ya mtu sasa kila anayenifuata naona hana vigezo na wengi nawaona wananitamani tu.

hii hali inanitesa sana kwamaana najikuta wanaonifuata ni wengi lakini bado upweke unanitesa.

mawazo yako yatakayojenga please.
Bibie kutokana na maelezo yako una Jini mahaba ndişo anayekusumbuwa usipate mchumba na unaweza kukaa hivyo hivyo bila ya kupata mchumba ukawa kila siku unachaguwa wachumba na hukai nao kabisa.

DALILI ZA KUONYESHA UNA JINI MAHABA NI HIZI MOJAWAPO UKIWA NAYO NI TOSHA KABISA SIO LAZIMA UWE NAZO ZOTE:

1.KUNA KUJITAMBUA KUWA UNA MAJINI KWA NJIA MBALIMBALI.KUJITAMBUA KWA NJIA YA NDOTO YA DHAHILI.

2.DALILI ZA DHAHILI.

A.KIZUNGUZUNGU.

B.VITU KUTEMBEA TUMBONI.
C.VICHEZA MWILINI.3
D.KICHWA KUUMA MARA KWA MARA.
E.KUHISI MTU ANATEMBEA NYUMA YAKO.
F.KUPIGA MIHAYO SANA.
G.MACHO KUKOSA AIBU.
H.HASIRA ZA MARA KWA MARA.
I.KUPOTEZA KUMBUKUMBU.
J.UGOMVI WA MARA KWA MARA.
K.MARADHI YA KUJIBADILISHA BADILISHA.
L.KUHISI BARIDI MARA KWA MARA.
M.KUTOJISIKIA KUONGEA HASA WAKATI UNAPOSSEMESHWA NA MTU UNAONA KAMA
ANAKUSUMBUA.
N.MASIKO KUPIGA KELELE.
O. KUHISI VITU VINAONGEA MASIKIONI.
P.KUPOTEZA HELA MARA KWA MARA KWA NJIA YA KUTATANISHA.
Q.KUHARIBIKIWA NA VITU HASA VYA MOTO.
R.MATATIZO YA HEDHI KUFUNGIKA AU KUTOKA KWA WINGI AU KUKOSA KABISA.
S.KUFUNGIKA KWA KIZAZI.
T KUSTUKA STUKA
U.MOYO KUONGOKA SAWA NA MTU MWENYE PRESHA.
V.KUPUNGUKIWA DAMU NA KUKONDA AU KUISHIWA MAJI MWILINI.
W.KUPUNGUKIWA NGUVU ZA KIUME AU ZA KIKE.
X.KUSIKIA UCHUNGU WAKATI WA TENDO LA NDOA AU UNAPOMALIZA.
Y. KUHISI KICHEFUCHEFU UNAPOMALIZA TENDO LA NDOA.
Z.KUHISI MANUKATO AU HARUFU MBAYA.
AA.KUKOSA HAMU YA KULA AU KUBAGUA CHAKULA.
BB.MIMBA KUPOTELEA TUMBONI.
CC. KUHISI WATU WANAKUSEMESHA NA HAUWAONI.
DD.KIFAFA.
EE.KICHAA.
FF.PIA MAJINI HUMSABABISHA MWANAMKE KUWA MKALI WAKATI ANAPOOMBWA
TENDO LA NDOA.

3.DALILI KATIKA NDOTO.
A.NDOTO ZA KUFUKUZWA NA WANYAMA WAKALI.
B.NDOTO ZA KUOTA UNAJIFUNGUA.
C. KUOTA UNAPIGWA.
D.NDOTO ZA KUOGELEA.
E. NDOTO ZA KUPAA.
F.NDOTO ZA KUOTA UMEPANDISHIWA JINI.
G. NDOTO ZA KUOTA UMEOA AU UMEOLEWA.
H.KUOTA UMEVALISHWA PETE AU MKUFU.
I.KUOTA UNAPIGANA.
J.KUOTA UNAPIGA KELELE.
K.KUOTA MOTO MKUBWA.
L. KUOTA UNAZIKA.
M.KUOTA UMEKUFA.
N.KUOTA UNAFUKUA KABULI.
O.KUOTA SHEREHE MARA KWA MARA.
P.KUOTA UNAONGEA NA WATU WALIOKUFA.
Z.KUOTA UNAONA VISUGUU.
AA.KUOTA UNAONA MAFUVU WA WATU.
BB.KUOTA UNAPIGA RAMLI.
CC.KUOTA UNAVAA BANGILI AU SHANGA.
DD.KUOTA WATU WANACHUNGA NG,OMBE.
EE.KUOTA WATU WAMEVAA NGUO NYEUPE..
FF.KUOTA UNAKABIDHIWA MKUKI,FIMBO,MUNDU,MBUZI,KONDOO,NG,OMBE
NA KITAMBAA CHEUPE.
GG.KUOTA VIJUMBA VYA MIZIMU.
HH.KUOTA VIBUYU.
II.KUOTA UNAKUNYWA AU UNANYESHWA DAMU.
KK.KUOTA WATU WAMEVAA KANZU .
HIZI NI DALILI ZA MAJINI KWA NJIA ZA NDOTONI JAPO ZIPO NYINGI ILA NAWATAJIA HIZI HAPA
KWA UFUPI .NA PIA NAMUOMBA MWENYEZI MUNGU AENDELEE KUNIPA FAHAMU ILI NIENDELEE
KUWAELIMISHA NA KUWAFUNDISHA MAMBO MENGI YA KUWATAMBUA MAJINI KWA NJIA ZA
NJOZI PIA KWA NJIA ZA DHAHILI.WATU WENGI WANASUMBUKA NA MASHETANI ,MIZIMU,MAJINI,
MAITI LAKINI HAWAJITAMBUI SASA NAHITAJI KUWAPA ELIMU ILI MUWEZE KUFAIDIKA NAZO.
NA PIA NAWAFUNDISHA DAWA KWA AJILI YA HUDUMA YA KWANZA.ASANTE YENU
ITANISABABISHA KAZI YANGU KUSONGA MBELE HII NI MOJA YA SADAKA.
KWA SASA MAJINI NDIO WANAONGOZA KWA KUWATESA WATU ,NA KUWATIA NUKSI,NAKUWAFILISI ,PIA NA KUVUNJA NDOA ZA WATU.
Ukiwa na tatizo lolote lile unaweza kunitumia baruwa ya pepe email yangu hii hapa fewgoodman@hotmail.com au pia waweza kunitembelea blog yangu kwa kubonyeza hapa.Mzizi Mkavu

Una jini mahaba
CC nduki, MziziMkavu
Vipi Mkuu HP1 hujambo lakini?
 
Last edited by a moderator:

Similar Discussions

Back
Top Bottom