kimyama nje
JF-Expert Member
- May 28, 2017
- 361
- 408
Anawenge Hanna cha nyota wala nini. Kuna mamantilie huwa nakula kwake anasema nikiwa mteja wa kwanza anamaliza msosi. Sasa nimekua nachelewa maksudi maana hilo jambo toka atamke lime nikaa kichwani.Sikh asipo uza itakuaje?