Changamotto
Senior Member
- Jan 12, 2018
- 191
- 101
Hilo liko wazi kabisa, hata mkewe anajua, ila mumewe akimuuliza mkewe kwanini kila inapotokea kutoelewana ndani ya nyumba lazima akutane na majanga anasema hajui. Mume ni mfanyabiashara ya nafaka.
Mara nyingi ikitokea akasafiri pasipokuwa na maelewano na mke wake safari inakuwa ngumu sana, mara apoteze pesa mara apoteze mizigo mara aibiwe mara usumbufu usio wa kawaida kwa watoza ushuru na mambo mengine mengi.
Ni mwezi wa pili sasa tangu mume ahame nyumbani kwake kwa hasira baada kutokea ugomvi mkubwa na mkewe, pesa ya matumizi huwa anatuma lakini mitihani anayopitia ndio kama nilivyoeleza hapo juu.
Msaada wenu tafadhali.