keki ya makande ki.s.h.u.m.b.a au?
happy belated birthday dada ladyfurahia....
Mungu akuongezee maisha yenye afya tele na baraka zisiishe katika nyumba yako..uzidi kumpenda mume wako mentor
unajua napata shok ninapoiona hiyo AVATAR yako hebu ondoa hapo kwanza urudishe baadaye kidogo kama sekunde 17 hivi
usijali sisi huku kwetu pwani huwa tunasherekea mwezi mzima unakuwa ni mwezi wa kumbukumbu hiyo hivyo ujachelewa bestito jamani ubarikiwe
why upate shock jamani loo leo wapi muendelezo wa bd?
hureeeeee kumbe ladyfurahia mtoto wa pwani no wonder kijana wangu Mentor hataki kubanduka....
muendeleo unakaribishwa kigamboni upate keki ya makande kama umewahi kuisikia wala kuionja hiyo keki
Mbwembwe meeeeeeeeeeeeen na ikifika bathday yangu nikikosa wakunirusha roho nafwa kabisa ajitolee mtu humu tr 17 june .HB LF
Thanks leo nimejifunza kitu hapa......Hivi kumbe wanaume tupo tofauti sana na kina dada, maana kwa sisi wanaume haya
mambo huwa tunayachukulia juujuu tu. Yani hii siku unaweza ukajikuta umeisahau, unakuja kukumbuka tarehe imeshapita.
Kumbe mnaithamini hivyo!!!!.....Ok I think I will be the first to wish you happy birthday on that day, by the way I would like to submit my special wishes of honor to our shemu here, Happy birthaday ladyfurahia, wishing you living longer with more success in your life.
Umenikumbusha mbali....smh!!!:nod:
Passion Lady!
kishumba, mapure, kibulu..... viogwe..... na vingine vingi, teh! Nadhani umenisoma
wala hujakosea chochote waweza ongeza ikingine ambacho wakifahamu bestito
ladfurahia siwezi kusema zaidi ya hapo best, najua yapo mengi mazuri kama sio matamu,lakini nadhani wahusika wakuu wana nafasi nzuri ya kuyasema na kupokelewa vema, kwangu mimi na wengine wa aina yangu lazima tuwe na mipaka, hivyo nadhani hapo nilipofikia ni mwisho.
Maadamu nimeona katika andiko lako mmojawapo ukisema ninyi watu wa pwani tukio kama hili mnalifanya kwa mwezi mzima, kwa mkutadha huo basi niendelee kukutakia kila lililo jema kwa mwezi huo mzima na Mungu daima awe mbele yenu katika kufanikisha hiyo kumbukumbu mhimu katika maisha yako hapa duniani.
hureeeeee kumbe ladyfurahia mtoto wa pwani no wonder kijana wangu Mentor hataki kubanduka....
asante sana nashukuru best ila nimeipenda hii signature yako imenigusa nafikiri my husband Mentor ataipenda pia kwani tabia zetu kwa mbali zinafanana
ladfurahia siwezi kusema zaidi ya hapo best, najua yapo mengi mazuri kama sio matamu,lakini nadhani wahusika wakuu wana nafasi nzuri ya kuyasema na kupokelewa vema, kwangu mimi na wengine wa aina yangu lazima tuwe na mipaka, hivyo nadhani hapo nilipofikia ni mwisho.
Maadamu nimeona katika andiko lako mmojawapo ukisema ninyi watu wa pwani tukio kama hili mnalifanya kwa mwezi mzima, kwa mkutadha huo basi niendelee kukutakia kila lililo jema kwa mwezi huo mzima na Mungu daima awe mbele yenu katika kufanikisha hiyo kumbukumbu mhimu katika maisha yako hapa duniani.
hii avatar yako inanigusa sana sijui kwanini nimetokea kuipenda hebu iangalie vizuri hapa nimecopy na kupaste Apataye mke apata kitu chema, naye ajipatia kibali kwa Bwana... (Mit 19:22). Unywe maji ya birika lako mwenyewe, na maji yenye kububujika katika kisima chako...(Mit 5:15)