ladyfurahia
JF-Expert Member
- May 10, 2011
- 14,758
- 9,592
ladyfurahia, kwanza nikupe hongera kwa kuendelea kula chumvi nyingi hapa duniani, na kukutakia kila lililo jema maishani mwako na kipenzi cha moyo wako jirani yangu Mentor(jirani wapi keki leo; kijiji beach au mikadi beach?).
Pili, ningependa kukufahamisha kuwa i'm married to my sweet wife mwaJ, kwahiyo ningependa uniondoe katika hilo group la wanaume wa JF wanaoweza kumtoa best yangu Nivea.
Tatu, nakutakia kila la kheri wakati wote unapoendelea kumpa kampani Nivea hadi ampate amfaaye kwa dhiki na raha.
jinsia yoyote sina alegi
hb my lovely friend!
ukija nitafute
ladyfurahia, kwanza nikupe hongera kwa kuendelea kula chumvi nyingi hapa duniani, na kukutakia kila lililo jema maishani mwako na kipenzi cha moyo wako jirani yangu Mentor(jirani wapi keki leo; kijiji beach au mikadi beach?).
Pili, ningependa kukufahamisha kuwa i'm married to my sweet wife mwaJ, kwahiyo ningependa uniondoe katika hilo group la wanaume wa JF wanaoweza kumtoa best yangu Nivea.
Tatu, nakutakia kila la kheri wakati wote unapoendelea kumpa kampani Nivea hadi ampate amfaaye kwa dhiki na raha.
Happy birthday cousin... Love u!
Jirani sherehe kesho kitu cha kipepeo jirani...karibu sana!
RSVP (Rice and Stew Very Plenty):heh:
asante ila ningefurahia zaidi wangekuwepo ndugu zangu hawa charminglady, sweetlady, Lady Unbreakable, Passion Lady, kwani wanakwenda kukomunika kwenye komunio ya donny na Mtambuzi na commitedkule goba hivyo njoo wewe na Nicas Mtei mle keki kande ya kikwetu bila kumsahau Madame B, Mamndenyi na amu, na Paloma karibu ni leo jioni
thanks baby
umejikakamua kweli jirani haya bwana nije????????? Au ntaharibu shoojirani sherehe kesho kitu cha kipepeo jirani...karibu sana!
Rsvp (rice and stew very plenty):heh: