Kikwete's most embarassing statements...

Kikwete's most embarassing statements...

Hiyo siyo speech ni "Joke" ambazo wanasiasa wote wantumia. Obama ndiyo smart President, lakini anazungumza vitu vya kijinga kila wakati. Ukiwa mwanasiasa lazima ujue njia ya kukonect na watu wa mjini. Kwa sisi tuliotoka Dar (Kikwete pia) hizo ndizo lugha tunazotumia. Watu wa Bara wapo tofauti na watu wa Dar.
 
yaani hapo nilichoka kabisa............hivi hajui kuwa hata vipanga huwa wanajiandaa inapofikia ocassions kama zile!!

labda anajiandaaga kwa spichi, ila maswali yakija yale ya papo kwa papo ndio anakuwa hana jinsi inabidi awe real...

mh! niko hoi!
 
mara nyingi kikwete akizungumza huwa sometimes nafeel embarased

top three ya mazungumzo ya kikwete yaliyo ni disapoint ni hii
1.alienda mwanza mara baada ya kuchaguliwa kuwa rais
alizungumza mengi lakini mwisho alisema namnukuu 'wananchi wa mwanza nataka kulibadilisha hili jiji lenu liwe kama carlifornia ' na hii ilikuwa hadharani kwenye uwanja wa ccm kirumba.
2.akifanya mkutano wa waandishi wa habari mwanzoni kabisa,kuna mwandishi mmoja wa kike alimuuliza swali kuhusu nchi kurusu bidhaa duni kuingia na uhai wa manufacturing industry.yeye alijibu huku akijionyesha
mtoto wa mjini anaejua mavazi,akaanza kutaja labels za nguo,na mwisho akasema kwa kuwa sio wote wanamudu nguo mpya,basi ruksa watu kuingiza nguo duni
3.HII ilikuwa ile hotuba yake maarufu ya bungeni,watu nchi nzima tunasubiri ripoti ya epa ataizungumziaje,yeye akatumia mda mwingi
kuchekesha watu,top ilikuwa pale aliposema kula uliwe

badala ya kusikitika imebidi nicheke
Kwa hiyo mir Prezidaa alianza kutuolozeshea kina Gucci ,
logoDG.gif
daa hii kali

lakini mbona katika ahadi zake za maisha bora kwa kila mtanzania ,ni mafisadi tu ndo wanaishi namna hiyo na vigogo wa nji hii

akina sisi tunaishi maisha magumu hata kupata b/fast ya uji na viazi kwetu ni paukwa pakawa

na je mbona watanzania hatuyaoni hayo???
 
..the most embarassing statement ni pale aliposema kuwa serikali ikiruhusu wanafunzi waliojifungua kurudi shuleni matiti yao yatakuwa yakichirizika maziwa madarasani.

NB:

..naomba mwenye ile speech atuletee hapa jamii forums.

no comment...
 
kula uliwe maana yake ni ili ufanikiwe lazima uwekeze ama pesa au nguvu zako.usitegemee kufanikiwa bila kuwekeza kwanza!!!!!!!!!!!!!!!!!!
 
Ni aidha JK ni mswahili mno kufuata alicho andikiwa kwenye hotuba au hao wanaomuandikia hotuba nao hawajui kuandika. Kama anatoaga speeches spontaneous aache kwa maana siyo kila mtu anayeweza kuhutubia kutoka kichwani kwa mpangilio mzuri. JK charisma inamsaidia sana la sivyo mh...

True wangu, I think when people don't think and try to analyze his speeches that's when all kinds of utumbos unaendelea. Wapokeaje/wasikilizaji need to be blamed too, how can you just sit there and listen to that kind of speech? how many mwanzanians know how California is??!!!

Prez. Please!
 
Ni aidha JK ni mswahili mno kufuata alicho andikiwa kwenye hotuba au hao wanaomuandikia hotuba nao hawajui kuandika. Kama anatoaga speeches spontaneous aache kwa maana siyo kila mtu anayeweza kuhutubia kutoka kichwani kwa mpangilio mzuri. JK charisma inamsaidia sana la sivyo mh...

By the way, I like this quote from JFK.

If only our prez, could talk like this, lakini mh!.......Yamtokayo mtu ndo yaliyojaa moyoni, right?...shughuli si ndogo!
 
kula uliwe maana yake ni ili ufanikiwe lazima uwekeze ama pesa au nguvu zako.usitegemee kufanikiwa bila kuwekeza kwanza!!!!!!!!!!!!!!!!!!

kula uliwe maana yake vaa kapelo, tisheti na khanga, kodi yako na rasilimali zako ziliwe
 
By the way, I like this quote from JFK.

If only our prez, could talk like this, lakini mh!.......Yamtokayo mtu ndo yaliyojaa moyoni, right?...shughuli si ndogo!

Hey Kui za siku? Thanks I like the quote too. Lakini viognozi wetu wao wana jiuliza nchi ita wafanyia wao nini.
 
Hey Kui za siku? Thanks I like the quote too. Lakini viognozi wetu wao wana jiuliza nchi ita wafanyia wao nini.

LOL!, mwenzangu!!, halafu wananchi wa kawaida watajiju...kazi ipo!

Za siku nzuri tu, Tunamshukuru Mola Anayetuwezesha na yote.
 
kuhusu maisha bora kwa kila mtanzania...........ndiyo maana mimi huwa siwezi kupoteza muda wangu kusimama kwenye mstari muda mrefu ili kupiga kura..KAMWE SINTOFANYA UPUUZI HUU....huwa nawaambia watu wananishangaa...huwa nawauliza nifanye effort zote ili iweje???kwa faida ya nani???..sababu naamini kabisa hakuna faida ya pamoja...ila ni kwa baadhi ya watu ambao wanahusiana kwa namna moja au nyingine na atakayechaguliwa...hivyo siwezi kumchangua mtu ambaye sintopata faida kwake...yaani kama hatujuani kabisa,ni hapana...........ndivyo ilivyo
 
..the most embarassing statement ni pale aliposema kuwa serikali ikiruhusu wanafunzi waliojifungua kurudi shuleni matiti yao yatakuwa yakichirizika maziwa madarasani.

NB:

..naomba mwenye ile speech atuletee hapa jamii forums.

guys are u seriousy ?
 
Kwangu his most embarassing speech ni pale aliposema maisha bora kwa kila Mtanzania. Nilijua kutokana na rekodi yake hataweza lakini nikabishiwa, nikabezwa, nikaambiwa JK we acha tu...
Na pia aliposema hakini wa Tanzania unatokana na nini
 
..the most embarassing statement ni pale aliposema kuwa serikali ikiruhusu wanafunzi waliojifungua kurudi shuleni matiti yao yatakuwa yakichirizika maziwa madarasani.

NB:

..naomba mwenye ile speech atuletee hapa jamii forums.

........ Huyu aliyesema hivi ni Rais? JAmani hata hao wanaomwandikia speeches zake wanapaswa kulaumiwa!! Na kina TAMWA wamekaa kimya juu ya tamshi hili?

Mi ananikera sana tu basi sina uwezo.........
 
..the most embarassing statement ni pale aliposema kuwa serikali ikiruhusu wanafunzi waliojifungua kurudi shuleni matiti yao yatakuwa yakichirizika maziwa madarasani.

NB:

..naomba mwenye ile speech atuletee hapa jamii forums.

Heee!!
Hata hili aliwahi kulisema! Nadhani inabidi tuulize historia ya huyu jamaa. Yawezekana IQ iko below cutting point ya normal human.
 
Juzi kwenye maswali mwisho aliwaomba radhi eti ohh kachukua muda mwingi hadi mechi ya mpira karibia inaisha ..... lol

mpira ni muhimu!!!!
 
Juzi kwenye maswali mwisho aliwaomba radhi eti ohh kachukua muda mwingi hadi mechi ya mpira karibia inaisha ..... lol

mpira ni muhimu!!!!

Amezidi uswahili naye klol hata zile attitudes na mwonekano ambao rais anatakiwa kuzicarry hana !! Sijui tumemwokota wapi huyu naye!!
 
Back
Top Bottom