Ukweli husemwa:
Mkuu Msemaukweli hebu angalia tofauti za hizo picha, jamaa kalala na kadet, ana tshirt bomba na raba juu halafu kaangalia hako katoto, ni full vumbiii!!!
ukweli unauma. tunataka maisha bora bana, siyo picha za UK.
Limbani, itakuwa vizuri kama umeisha wahi kuutembelea huo mtaa naamini usingesema hivyo. Halafu kumbuka hiyo ni picha moja kati ya nyingi tu ambazo unaweza kuzipiga hapa London. Kuna maeneo kama Victoria, trafalgar square ukipita usiku huwezi kuamini kama uko katika nchi inaitwa ya ulimwengu wa kwanza. Kitu ninachosema, kila nchi ina matatizo na usichukue kama Tanzania ndiyo nchi pekee kuwa na tatizo hili.
Mkuu Msemaukweli hebu angalia tofauti za hizo picha, jamaa kalala na kadet, ana tshirt bomba na raba juu halafu kaangalia hako katoto, ni full vumbiii!!!
Duh!hii kali,yani huyu mbunge ni kweli anabrush viatu wakati wa vikao vya bunge?tukisema bunge is joke mnabisha.
Haya ndiyo maisha bora kwa kila mbunge mjengoni.Hapa kero za wananchi zinashughulikiwa na mbunge makini
Hao wana matatizo ya ulevi na matumizi ya madawa ya kulevya.Limbani, itakuwa vizuri kama umeisha wahi kuutembelea huo mtaa naamini usingesema hivyo. Halafu kumbuka hiyo ni picha moja kati ya nyingi tu ambazo unaweza kuzipiga hapa London. Kuna maeneo kama Victoria, trafalgar square ukipita usiku huwezi kuamini kama uko katika nchi inaitwa ya ulimwengu wa kwanza. Kitu ninachosema, kila nchi ina matatizo na usichukue kama Tanzania ndiyo nchi pekee kuwa na tatizo hili.
The two photos above show an old woman called Loi, in front of and in her house in Ibwaga Village. She has lost her sight with age, and lives with her daughter who is deaf. They normally depend on farming for their livelihood but last year their farm was among many others that were destroyed by the December floods in Kongwa District. At the time photograph was taken they had stock of only ten kilos of "uwere" left.
Acha kupotosha watanzania hiyo picha sio ya Tanzania ni Picha ya Rwanda wakati wa mauaji ya mwaka 1994. kuwa makini.