Chinga One
JF-Expert Member
- May 7, 2013
- 11,493
- 12,453
Wakati mwingine unaweza kuona unamtetea Mbowe kumbe unadhalilisha.
Mbowe alikwenda Oman ni Lukuvi pamoja na Anna Makinda.
Pesa za safari alitoa Mbowe?
Mbowe alikuwa South Africa akaunganisha Oman kisha akarudi Dar es Salaa, leo kaenda Hai.
Halafu Wewe Mshikaji umebanwa na mavi nini? Aliyekwambia mimi Ni UKAWA ni nani? Au Unafikiri nchi hii kuna CCM na UKAWA tu? acha kupapatikia watu nenda chooni kwanza, ndio uweze kufikiria vizuri, ala!
hela atoe wapi?
Tanzania ilivyojaa ardhi na raslimali za kutosha wanakosaje mlo wa siku wakati nguvu ya kufanya kazi wanayo. Uvivu wa kujiendekeza ndio chanzo cha umaskini uliokithiri.Safari zake zina faida ndogo kwa wananchi ambao hawapati mlo wa uhakika kwa siku. Na zinatumia gharama nyingi zisizo za lazima. Sasa kama kwa wakati mmoja kuna misafara ya watu 300 wote kwa gharama za walipa kodi unadhani kwa nini nchi isiwe maskini? Kifupi nchi haina vipaumbele, ni ubinafsi tu ndio umetawala. Yawezekana na wewe ndio miongoni mwa wale waliopo kwenye misafara kila siku hupati muda wa kuona wala kujua kama kuna watanzania wanakosa mahitaji ya kila siku.
Tumia pesa upate pesa, huwezi ukakaa tu ndani ukitegemea pesa zitaongezeka. Katika nchi ambayo walipa kodi ni chini ya asilimia 30 utawezaje kulisha na kufanya shughuli ya maendeleo kwa kutegemea kodi peke yake? Hapo hapo bado mnawaunga mkono wanaogoma kutumia EFD, na wakati huo huo mnataka serikali ikae tu ndani bila kutafuta wawekezaji.Kwa mawazo yako, hatuna haki ya kuhoji safari zake?hatuna haki ya kujua safari hizo zina tija kiasi gani kwa watz?unadhani JK anasafiri kwa pesa za nani kama si zetu...sisi ndo walipakodi tunatakiwa kuhoji kila kitu.Hii siyo maisha binafsi ya mtu Tunazungumzia taasisi inayotumia pesa zetu...fikiri kabla ya ku...
Wakati mwingine unaweza kuona unamtetea Mbowe kumbe unadhalilisha.
Mbowe alikwenda Oman ni Lukuvi pamoja na Anna Makinda.
Pesa za safari alitoa Mbowe?
Wakati mwingine unaweza kuona unamtetea Mbowe kumbe unadhalilisha.
Mbowe alikwenda Oman ni Lukuvi pamoja na Anna Makinda.
Pesa za safari alitoa Mbowe?
Hata kama anaomba kwa ajiri yetu,tumemtuma akaombe?.Kwanini asituulize kwanza kama hili jambo tunalifurahia?.Na mbona akipata ha itishi vyombo vya habari kutuonyesha alicholeta?
mzurulaji huyo, bado Trinidad na Tobago!
yani leo mkuu hauko sawa kabisa kichwani naona uta kua na stress maana hizi komenti zako ni bure kabisa.
Omba omba kazini
ni aibu sana kuwa na viongozi wenye uwezo kidogo kifikra.
mimi ninaona aibu kuonekana mtanzania kila linapotajwa jina la Rais wa nchi ya Tanzania.
Rais wetu amekuwa wakala wa kutuaibisha kama taifa kwa kuwa ombaomba aliyevuka mipaka ya kuvumilika.
mimi ninawaonea wivu sana wakenya kwa sasa kwa kuwa na viongozi wenye fikira na mtazamo mpana kwa maslahi ya taifa lao.
taifa lao linajivunia sana Rais wao.
kila linapotajwa jina la Uhuru Kenyatta Wakenya wanajivunia sana na hata waafrika kwa ujumla wake.
na mimi najivunia sana kuwa na Kenyatta kama Rais anayebeba nembo na matumaini ya Afrika yaliyopotea miaka mingi.
TUJIFUNZE KWA VIONGOZI WA KENYA HASA UHURU KENYATTA NAMNA YA KUENDESHA NCHI NA SI KUKIMBILIA KUWA OMBAOMBA BADALA YAKE TUKAE KAMA TAIFA TUPANGE NINI TUFANYE ILI TUSITAWI.
HAKUNA NCHI ILIWAHI KUENDELEA KATIKA HISTORIA YA MAENDELEO KOTE DUNIANI KWA KUZUNGUKA DUNIA NZIMAKUOMBAOMBA.
HUYU RAIS ANATUABISHA KAMA TAIFA.
MAANA TUNAONEKANA UWEZO WA TAIFA WA KUFIKIRI KWA UJUMLA WAKE NI KIDOGO SANA KWA SABABU YEYE NDIYO NEMBO KWA TAIFA LETU NA AMESHINDWA KUTUONGOZA KUFANYA MAMBO YETU SISI WENYEWE BADALA YA KUWA OMBAOMBA
Wanapishana na Mbowe alikuwa hapo Oman kwa sultan anakula bata kwenda mbele.
teh teh teh
Mbowe alikuwa South Africa akaunganisha Oman kisha akarudi Dar es Salaa, leo kaenda Hai.