Mbowe alikuwa South Africa akaunganisha Oman kisha akarudi Dar es Salaa, leo kaenda Hai.
Mbowe alikuwa South Africa akaunganisha Oman kisha akarudi Dar es Salaa, leo kaenda Hai.
Wakati mwingine unaweza kuona unamtetea Mbowe kumbe unadhalilisha.Alikuwa pekee kwa shughuli zake pekeee kwa pesa yake sasa dar to Hai ni buku ngapi?
Kikwete ameingia Vietnam kwa ziara na msusururu wa Mtu kama miaa hivi, kudadeki... halafu kama hiyo haitoshi Pinda naye yuko Ulaya naye kabeba mtu kama 100 hivi na hiyo ni kwa wiki mbili sasa, huku nako Mwandosya yuko Zambia, achilia hao wengine ambao wala Ziara zao hazitangazwi kudadeki... hivi hakuna Mtu wa kumpindua huyu Jamaa arghhhhhhhhhh!
Wanapishana na Mbowe alikuwa hapo Oman kwa sultan anakula bata kwenda mbele.mkuu pinda akitoka poland anakwenda oman si unajua sultan zawadi zake ni mwendo wa bata kwenda mbele
Mmeshindwa kumpindua kwa kutumia sanduku la kura katika chaguzi kuu mbili za kidemokrasia, kwa sasa ndiyo mtaweza kwa njia nyingine.Kikwete ameingia Vietnam kwa ziara na msusururu wa Mtu kama miaa hivi, kudadeki... halafu kama hiyo haitoshi Pinda naye yuko Ulaya naye kabeba mtu kama 100 hivi na hiyo ni kwa wiki mbili sasa, huku nako Mwandosya yuko Zambia, achilia hao wengine ambao wala Ziara zao hazitangazwi kudadeki... hivi hakuna Mtu wa kumpindua huyu Jamaa arghhhhhhhhhh!
Kikwete ameingia Vietnam kwa ziara na msusururu wa Mtu kama miaa hivi, kudadeki... halafu kama hiyo haitoshi Pinda naye yuko Ulaya naye kabeba mtu kama 100 hivi na hiyo ni kwa wiki mbili sasa, huku nako Mwandosya yuko Zambia, achilia hao wengine ambao wala Ziara zao hazitangazwi kudadeki... hivi hakuna Mtu wa kumpindua huyu Jamaa arghhhhhhhhhh!
mimi nadhani ungeanza wewe kumpindua!!!Kikwete ameingia Vietnam kwa ziara na msusururu wa Mtu kama miaa hivi, kudadeki... halafu kama hiyo haitoshi Pinda naye yuko Ulaya naye kabeba mtu kama 100 hivi na hiyo ni kwa wiki mbili sasa, huku nako Mwandosya yuko Zambia, achilia hao wengine ambao wala Ziara zao hazitangazwi kudadeki... hivi hakuna Mtu wa kumpindua huyu Jamaa arghhhhhhhhhh!
Aisee Nyomi ya jana Ukawa umeiona?Mbowe alikuwa South Africa akaunganisha Oman kisha akarudi Dar es Salaa, leo kaenda Hai.
Huyu bwana mkubwa bora angeajiriwa na NASAKikwete ameingia Vietnam kwa ziara na msusururu wa Mtu kama miaa hivi, kudadeki... halafu kama hiyo haitoshi Pinda naye yuko Ulaya naye kabeba mtu kama 100 hivi na hiyo ni kwa wiki mbili sasa, huku nako Mwandosya yuko Zambia, achilia hao wengine ambao wala Ziara zao hazitangazwi kudadeki... hivi hakuna Mtu wa kumpindua huyu Jamaa arghhhhhhhhhh!