Kikwete: Watu wanamiliki viwanda vya kutunga Uongo Tanzania!

Mwana Mpotevu

Platinum Member
Sep 7, 2011
3,295
2,500
TAARIFA KWA VYOMBO VYA HABARI

Rais wa Jamhuri ya Muungano wa Tanzania, Mheshimiwa Jakaya Mrisho Kikwete leo, Alhamisi, Septemba 20, 2012, ameweka Jiwe la Msingi la ujenzi wa Daraja la Kigamboni, Dar es Salaam kwa kuwaonya watu ambao amewaeleza kuwa wanavyo viwanda vya kutunga uongo kuacha tabia hiyo na kuelekeza nguvu kwenye maendeleo.

Aidha, Rais Kikwete amewahakikishia wakazi wote wa Kigamboni ambao wanaondolewa katika maeneo yao kwa ajili ya kupisha ujenzi wa daraja hilo na ujenzi wa Mji Mpya wa Kigamboni kuwa watalipwa stahili na haki zao zote.

Daraja hilo la Kigamboni ambalo wazo la kujengwa kwake lilibuniwa kwa mara ya kwanza zaidi ya miaka 30, tokea mwaka 1978, wakati wa uongozi wa Baba wa Taifa, Mwalimu Julius Nyerere, linajengwa kwa gharama ya Sh. bilioni 214.6 na litakuwa tayari katika muda wa miezi 36 ijayo, ingawa muda huo unaweza kupungua na kubakia miezi 30.

Daraja hilo litapunguza adha ya usafiri kati ya Kigamboni na Dar es Salaam ambao kwa sasa unategemea vivuko, ama boti ndogo, mitumbwi ama wenye magari kulazimika kufanya mzungumo wa kilomita 52. Kwa uamuzi wa sasa, wavuka kwa miguu ambao watakuwa na njia maalum kwenye daraja hilo pamoja na waendesha baiskeli watavuka bure bila malipo yoyote.

Akizungumza kwenye sherehe hiyo, Rais Kikwete amesema kuwa Serikali haiwezi kudhulumuwananchi wake na hivyo watu wote ambao wanastahili fidia kutokana na ujenzi wadaraja hilo na mji mpya wa Kigamboni watalipwa haki na stahiki zao.

Rais Kikwete pia amewaonya watu ambao wamelifanya suala la kutunga na kusema uongokama sehemu ya utamaduni wao. "Watu wana viwanda vya kuzalisha uongo. Wanashinda wanasambaza uongo kwenye mitandao, kila mahali. Wamepata hata kusema kuwa mimi nimemuuzia George Bush eneo la Kigamboni. Bush aje kufanya nini Kigamboni?"

Rais pia amesema kuwa wapo watu ambao hawapendi maendeleo ya nchi. "Wanatamanikila siku tushindwe kuwaletea wananchi maendeleo. Lakini watakufa kwa kihoro kwa sababu hatutashindwa. Kila tulilosema tutalifanya, litafanyika".

Amesema kuwa thamani kubwa ya vyama vya siasa ni maendeleo ya wananchi. "Lakini wapo wenzetu ambao wanaudhika wakiona maendeleo. Wanapenda hata daraja hili lisijengwe. Leo hawatalala usingizi. Kazi ya vyama vya siasa ni kuweka maslahi yetu sote mbele."

Imetolewa na:
Kurugenziya Mawasiliano ya Rais,

Ikulu.

Dares Salaam
.

20Septemba, 2012

MY TAKE:
Hivyo vyama vi vipi visivyotaka maendeleo? Hiyo mitandao ya kijamii ni ipi? Akina nani wanaomiliki viwanda vya kutunga uongo according to JK??

Mgao wa umeme utakuwa historia
kigoma itakuwa kama dubai
Foleni za dar zitakuwa historia

Huu ni ukweli?
 
ndio maana serekali haioni haja ya kuanzisha viwanda na kuvindeleza vilivyopo manaa hivi vya uongo vinatoa ajira ya kutosha?
 
cqapa kazi jk. chama kisichopenda maendeleo ni CHADEMA, JK weka wazi, na kiwanda cha uongo ni gazeti la TANZANIA DAIMA.
 
Muongo number moja anaeshikilia rekodi hiyo ni Dr Slaa,huyu babu anakipaji cha hali ya juu na amekatika mshipa wa noma.Anaweza kuzusha lolote kwa maslahi yake binafsi hafai,hafai wakuogopwa kama ukoma.

moungo namba sifuri ni jakaya mrisho halfani kikwete eti dubai itahamia Tanzania??

na Maisha bora kwa kila mtanzania mwaka wa saba sasa huu imebaki bora maisha kwa kila Mtanzania.
Ahadi alizozitoa kwenye kampeni zake zake tukiziweka hapa tuangaliae ni napi zimetekelezwa aua zitatekelezwa kabala hajatoka ikulu ndio utajua kweli huyu jamaa anamiliki viwanda vingi zaidi vya uongo na halipi kodi kwa uongo anaouzalisha
 
Muongo number moja anaeshikilia rekodi hiyo ni Dr Slaa,huyu babu anakipaji cha hali ya juu na amekatika mshipa wa noma.Anaweza kuzusha lolote kwa maslahi yake binafsi hafai,hafai wakuogopwa kama ukoma.

Tupe mifano ya uongo wake walau mitano tu
 
Tafadhali Mods, naomba hii muiache hapahapa ili watu wajadili kauli hii ya JK badala ya kuiunganisha na yoyote inayofanana pleaseeee niko chini ya miguu yenu Mods!!!

TAARIFA KWA VYOMBO VYA HABARI
Rais wa Jamhuri ya Muungano wa Tanzania, Mheshimiwa Jakaya Mrisho Kikwete leo,Alhamisi, Septemba 20, 2012, ameweka Jiwe la Msingi la ujenzi wa Daraja laKigamboni, Dar es Salaam kwa kuwaonya watu ambao amewaeleza kuwa wanavyoviwanda vya kutunga uongo kuacha tabia hiyo na kuelekeza nguvu kwenyemaendeleo.

Aidha ,Rais Kikwete amewahakikishia wakazi wote wa Kigamboni ambao wanaondolewa katikamaeneo yao kwa ajili ya kupisha ujenzi wa daraja hilo na ujenzi wa Mji Mpya waKigamboni kuwa watalipwa stahili na haki zao zote.

Daraja hilo la Kigamboni ambalo wazo la kujengwa kwake lilibuniwa kwa mara ya kwanzazaidi ya miaka 30, tokea mwaka 1978, wakati wa uongozi wa Baba wa Taifa,Mwalimu Julius Nyerere, linajengwa kwa gharama ya Sh. bilioni 214.6 na litakuwatayari katika muda wa miezi 36 ijayo, ingawa muda huo unaweza kupungua na kubakiamiezi 30.

Daraja hilo litapunguza adha ya usafiri kati ya Kigamboni na Dar es Salaam ambao kwasasa unategemea vivuko, ama boti ndogo, mitumbwi ama wenye magari kulazimikakufanya mzungumo wa kilomita 52. Kwa uamuzi wa sasa, wavuka kwa miguu ambaowatakuwa na njia maalum kwenye daraja hilo pamoja na waendesha baiskeliwatavuka bure bila malipo yoyote.

Akizungumza kwenye sherehe hiyo, Rais Kikwete amesema kuwa Serikali haiwezi kudhulumuwananchi wake na hivyo watu wote ambao wanastahili fidia kutokana na ujenzi wadaraja hilo na mji mpya wa Kigamboni watalipwa haki na stahiki zao.

Rais Kikwete pia amewaonya watu ambao wamelifanya suala la kutunga na kusema uongokama sehemu ya utamaduni wao. “Watu wana viwanda vya kuzalisha uongo.Wanashinda wanasambaza uongo kwenye mitandao, kila mahali. Wamepata hata kusemakuwa mimi nimemuuzia George Bush eneo la Kigamboni. Bush aje kufanya niniKigamboni

Rais pia amesema kuwa wapo watu ambao hawapendi maendeleo ya nchi. “Wanatamanikila siku tushindwe kuwaletea wananchi maendeleo.Lakini watakufa kwa kihorokwa sababu hatutashindwa. Kila tulilosema tutalifanya, litafanyika”.

Amesema kuwa thamani kubwa ya vyama vya siasa ni maendeleo ya wananchi. “Lakiniwapo wenzetu ambao wanaudhika wakiona maendeleo. Wanapenda hata daraja hililisijengwe. Leo hawatalala usingizi. Kazi ya vyama vya siasa ni kuweka maslahiyetu sote mbele.”

Imetolewa na:
Kurugenziya Mawasiliano ya Rais,

Ikulu.

Dares Salaam
.

20Septemba, 2012

MY TAKE: Hivyo vyama vi vipi visivyotaka maendeleo? Hiyo mitandao ya kijamii ni ipi? Akina nani wanaomiliki viwanda vya kutunga uongo according to JK??
Kwani hujakiona kiwanda cha Uongo Industries kinachomilikiwa na Kampuni ya Chagga Development Manifesto.
 
Kwani hujakiona kile kiwanda cha Uongo Industries kinachomilikiwa na Kampuni ya Chagga Development Manifesto.
 
cqapa kazi jk. chama kisichopenda maendeleo ni CHADEMA, JK weka wazi, na kiwanda cha uongo ni gazeti la TANZANIA DAIMA.

Jina lako linatosha sana kujua undani wa hoja yako. Ni ngumu sana kwa mke kutokumtetea mumewe hata kama anajua mumewe Jambazi namba moja lazima amtetee na kilio juu kuwa mumewe anaonewa!

Hongera sana!
 
Chadema wangependa kila siku raia afe na kila siku kuwe na maandamano ili kazi zisifanyike,Chadema ni kiwanda cha uongo! Slaa msimamizi wa Uongo!
 
Nahisi watakuwa wamegombana na NAPE hivi karibuni, sasa ameamua kumuumbua. Na hawa wengine wa vitu vizito ama vyenye ncha kali vilitungwa na watu ama tulivisikia tena kutoka kwenye authority.
 
Back
Top Bottom