Kikwete: Watu wanamiliki viwanda vya kutunga Uongo Tanzania!

1. Ulitaka mpk auawe ndio uamini?
2. Kama unadhani ule ni uongo, mbona hamkumshtaki?
3. Zilizoibiwa ni kura za Urais, ulitaka afike asimamie mwenyewe?
4. Hilo nalo ni kweli tupu. Na ndio maana wamefyata. Ya uongo kama yale ya Nape tayari yako mahakamani
5. Hii ya 5 ni mipasho kama hiyo tulioletewa toka ikulu. Sato Pra-sato!

Asante sana kwa kusaidia kumjibu Mingoi kwa wakati na kwa usahihi
 
Last edited by a moderator:
Asante prezidaa...hivi wale "magamba" washajiondoa wenyewe!!...aaah...unamjua mmiliki wa "do..once"...au ushakumbuka sababu ya umaskini wetu!?....mshahara nao umepanda kati ya 15%-20%...naskia na waalimu wote washalipwa madeni yao eeh!!...pia tuna "bodaboda" za kupeleka akina mama hospitali...na...pia......

hahahahahahaha lol
 
Muongo number moja anaeshikilia rekodi hiyo ni Dr Slaa,huyu babu anakipaji cha hali ya juu na amekatika mshipa wa noma.Anaweza kuzusha lolote kwa maslahi yake binafsi hafai,hafai wakuogopwa kama ukoma.

kwani dk slaa ndiyo alitoa ahadi ya maisha bora kwa kila mtanzania hadi umwite mwongo ,nahisi mwongo ni huyo aliyetuahidi na akaishia hewani kisha akarudi kivingine
:nerd:
 
hivi huyu baba ana akili timamu kweli?sasa yeye si ndo muongo namba moja duniani?huyu si ndo alisema atajenga machinga complex 5 dar es salaam?ataifanya kigoma iwe Dubai ?atajenga viwanja vya ndege kila mkoa?
Uwe na aibu wewe mzeee sio unaongea kama mtoto wa darasa la kwanza bwana unajidhalilisha sana basi tu ni vile una kichwa kigumu
 
au kasahau kama alisema hayo?
 
Muongo number moja anaeshikilia rekodi hiyo ni Dr Slaa,huyu babu anakipaji cha hali ya juu na amekatika mshipa wa noma.Anaweza kuzusha lolote kwa maslahi yake binafsi hafai,hafai wakuogopwa kama ukoma.

Sema hivi, uongo wake juu ya EPA uliwaumbua sasa mnamchukia. Bila Dr.Slaa ungejua wewe kama kuna senti zetu zinaibiwa na Farijala? Pole sana.

Bora uongo wa kweli kuliko ukweli wa uongo.
 
na ukiona hujaeleweka ujue kuwa u were not communicating!

Kuna kibabu fulani kilisema kitataja majina ya maafisa wa usalama wa taifa waliochakachua uchaguzi. Mpaka leo kimya. Jinsi hicho kibabu kinavyopenda advertise, kingekuwa na majina kingetaja mara moja. Hicho kibabu ni chief engineer katika kiwanda cha uongo...
 
JK ametumia tasfida kutomtaja kwa jina Dr Slaa kwa kuwa anajua ni mlalamikaji,angesema amemtukana lakini ujumbe umefika na watanzania tunalijua hilo na tunampuuza.
 
Ahadi na utendaji ni vitu viwili tofauti,hao aliopanganao Nyerere kwa wakati huo sidhani kama leo hii wapo au walishatenga pesa za mradi huo.Kuacha kumpa hongera JK ni dhuluma ya fadhila,labda Nyerere na timu yake walifikiria daraja la mbao kwa wakati huo maana hata teknolojia na ubunifu wa 1978 ni tofauti na 2012.Tunazungumza tunachokiona sasa hivi si hadithi za Nyerere au nabii Mussa.
............Eeeh Mungu angalia taifa letu la Tz linaangamia kwa kukosa maarifa!!
 
Muongo number moja anaeshikilia rekodi hiyo ni Dr Slaa,huyu babu anakipaji cha hali ya juu na amekatika mshipa wa noma.Anaweza kuzusha lolote kwa maslahi yake binafsi hafai,hafai wakuogopwa kama ukoma.

Katika hili Dr wa ukweli anahusika vipi? taja uongo ambao Dr. wa ukweli amaewahi kuzalisha
 
Baada ya ccm kuuwa vwanda tanzania watu wameona sio mbaya wakiwa na vyao kuwa agaist each and everythng cha ccm.
 
Kuna kibabu fulani kilisema kitataja majina ya maafisa wa usalama wa taifa waliochakachua uchaguzi. Mpaka leo kimya. Jinsi hicho kibabu kinavyopenda advertise, kingekuwa na majina kingetaja mara moja. Hicho kibabu ni chief engineer katika kiwanda cha uongo...
Juzi juzi Morogoro alisema anadata za watorosha nyara na amepewa kitambulisha chekundu cha jamaa wa usalama wa taifa akatoe photocopy kumbe ni fafa alionyesha driving licence ya zamani .

Hivi hli Daraja ndo lile lina jengwa kwa Mchango wangu Wa NSSF? Hapo wanaotakiwa kupongezwa ni wafanya kazi kwa kukaa kimya huku Michango yao ikitumika kwenye Miradi isiyo kuwa na Faida kwa wafanya kazi

JK ashukuru wafanya kazi wa Bongo ni Mazuzu sana Nchi nyingine mashirika ya hifadhi za jamii hayawezi tumia pesa bila kibali cha wafanya kazi wanaochangia huo mfuko,

WASHUKURIWE WAFANYA KAZI WANAOCHANGIA NSSF KWA KUPIGA KIMYA ILI MICHANGO YAO IJENGE DARAJA
 
Back
Top Bottom