Wonders shall never end!
Nape alishatamka hadharani kwamba hawezi kujiunga na Chadema kwa sababu yeye sio mchaga.Hata kukana aliyosema Nape akikufanyikaSwali alichukua hatua gani kukabiliana na waeneza ukabila???
Amechukua hatua gani dhidi ya waeneza udini???
Kama hajachukua hatua mpaka sasa basi atuambie Rais wa nchi hii ni nani....
Anachokera Kikwete kulalamika, wakati yeye ndio mwenye maamuzi na kauli ya mwisho.!
Nikichangia uzi huu lazima nipigwe ban for life. JK anakera
Hii mbona iko wazi inawalenga CDM moja kwa moja, kwani wao ndio 90% ya viongozi wao wanatoka kaskazini, na sasa wameleta udini chini ya mwamvuli wa kanisa
Message sent and delivered,
WALIOCHOCHEA UKABILA/UKANDA NDIO WANAOENDEKEZA UDINI. BIG UP JK, atleast umeliona tatizo
Message sent and delivered,
WALIOCHOCHEA UKABILA/UKANDA NDIO WANAOENDEKEZA UDINI. BIG UP JK, atleast umeliona tatizo