Kikwete: Uvumilivu sasa basi...

Kikwete: Uvumilivu sasa basi...

Bora amekubali kuuvumilia udini na ukabila alio uanzisha yeye mwenyewe!
 
Nimeamini maneno haya**AKILI NDOGO INATAWALA AKILI KUBWA**hivi awa viongozi wetu wanashindwa kuelewa kabisa kuwa wenyeji wengi wa mtwara mjini wanatoka mtwara vijijini(Msimbati)ila mjini pale wamekuja kutafuta maisha,basi poa hivyo viwanda wakejenge msimbati kama kweli wana nia ya dhati,wanajitahidi kupotosha hili,sitaki baadae kusikia oooh Rais ALIKUA ANAPOTOSHWA,waje uwanja wa mashujaa kujibu hoja sio wanajifichaficha tu
 
Amesahau yeye ndio mwasisi wa mambo ya udini 2010?

Mh kachemka sana,hasomi dira....na mambo ya nyakati!?....,Sasa ndo na pruvu kuwa vilaza wanaugonjwa wa kusahau na kujichetua, hata mi nashangazwa sana na huyu jamaa kujifanya kasahau kuwa alifanyiwa kampeni misikitini na ndo mana alikuwa anadaiwa fadhila na kina PONDO na Genge lao.
 
kwa taarifa yake leo tena muda huu kuna mkutano hapa mtwara mjini agenda ikiwa ni gesi. tena wanasema mtwara gesi kwanza siasa baadae!
 
Akitaka tuamini hiyo kauli yake afunge mafisadi na kurudisha pesa za uswiss
 
Miaka miwili iliyobaki inahitaji commanding/order nzito kama hii vinginevyo tutaendelea kulaumiana huko mambo yanaharibika.Binafsi nilitegemea kauli kama hii kutoka kwa mh. Rais,hii inadhihilisha jinsi gani raisi wetu anavyoweza kufanya maamuzi magumu yasiyo na chembe ya unafiki wala uoga kwa taifa.

Nitoe rai kwa wale wote ambao wao suala la Gesi wanaona ni dili lao kisiasa,hili sio dili ni balaa kubwa wanatafuta maana kuna mambo mengi ya msingi wamesahau kuyafanya ikiwa ni pamoja na,

1.Kujenga vyama vyao kimkakati kuelekea kwenye uchaguzi wa serikali za mitaa.

2.Kujenga uwezo wa ndani wa vyama vyao kukabiliana na mamluki wanaovivuruga vyama vyao.

3.Kutanua wigo wa uongozi na matumizi ya fedha ndani ya vyama vyao.

4.Kutafuta njia iliyo bora kuona jinsi gani vyama hivyo vinakuja na nguvu mpya ya kuungana na kupata chama kimoja chenye nguvu na ushawishi kwa wananchi tofauti ilivyo sasa.

5.Kuacha kuwasumbua wananchi ambao maisha kwao bado yataendelea kuwa magumu tu hata kama Gesi hiyo itabaki kwao.

6.Kuwatumia wataalamu walionao/ama kuwatumia wale waliopo katika masuala muhimu kama haya kwani kwa kufanya hivyo kutawapatia wataalamu wetu nafasi ya kutumia vibaji vyao kuwaeleza wananchi ukweli.

7.Vyama kuondoa dhana potofu kwamba eti siasa ni kwa wanasiasa na si wataalamu,vyama vijenge tabia ya kufanya consultation kwa wataalamu kabla ya kutafuta nguvu ya umma.

Vyama kwa kutokufanya hivyo navyo vitaonekana kama ni sehemu mojawapo ya dili la mtu/watu na si kwa maslai ya taifa.
Chama bora ni kile tu amabacho msingi wake uko katika kujenga nchi hata kama ni polepole maana haraka haraka haina baraka.

Napenda kuviomba vyama vya siasa na wadau wengine kuwa msingi mkuu wa Rasilimali za Taifa ni AMANI.AMANI Ikitoweka sidhani kama kuna yeyote kati yetu atakayethubutu kuzungumzia Rasilimali hizo akiwa Ukimbizini,mifano tunayo sema tu tunajisahaulisha kwa makusudi.

La mwisho ni kuwaomba ndugu zangu tupende kumheshimu Rais wetu hata kama hatumpendi,lakini heshima ni kitu kikubwa sana na kama alikwisha kukosea msamehe tu na umuachie mwenyezi Mungu.Tofauti za vyama zisitufanye kukosa adabu kwa Mkuu kama huyu na kwa wale ambao wana tabia ya kumkebehi,kimdharau na kumsema hovyo bila sababu waache tabia hizo kila mtu na atimize wajibu wake.
Asanteni.
 
Rais dhaifu kama jk nibora angeendelea kukaa kimya kama kawaida yake time will time!
 
Kwa iyo viongozi wenye uchungu na rasilimali zetu zinavyopolwa na kuwaeleza wananchi ndiyo wanatafuta umaarufu?Oh my God! Kikwete ulichoongea kinapotosha ukweli.Tunajua ni kwa sababu ya 10% tu,
 
Halafu anatumia hoja za kijinga. Eti Bukoba na ndizi zao, akisahau kuwa Bukoba wanauza ndizi na kufaidika nazo. Kilimanjaro na kahawa yao, hawa pia wanauza kahawa na kufaidika nayo. Awape uwezo watu wa Mtwara wazalishe na kuuza gesi tuone kama wataendelea kulalamika. What logic!

KILAZA mwenzie ''MUHOGO'' Alishaleta hayo maelezo uchwara ya mazao na hayakuonekana kuwa na tija yeyote,na yeye karudia tena!,kilimanjaro na kahawa yao anashindwa kujua kuwa wale kama wakulima walipata kwanza ajira ya kilimo na baadae kupata zao la pesa wao kama wao kwanza kable ya kuchangia pato la taifa.sasa DHAIFU na kundi lake ina maana uwezo wao wa kufikiria ndo umefikia TAMATI na kuja na hoja hizi UCHWARA?
MSIMAMO:Wana MTWARA ,kusini yote kwa ujumla na wapenda HAKI Wote kilaza ni BINADAMU tu kama binadamu wengine hasa walio genge moja.hivyo kukosea ni kitu cha kawaida tu kwake,kama wakiwa wengi (genge zima) wanakosea HABARI gani akiwa peke yake?,hana jipya tuachane nae hana lolote lenye tija.
 
Miaka miwili iliyobaki inahitaji commanding/order nzito kama hii vinginevyo tutaendelea kulaumiana huko mambo yanaharibika.Binafsi nilitegemea kauli kama hii kutoka kwa mh. Rais,hii inadhihilisha jinsi gani raisi wetu anavyoweza kufanya maamuzi magumu yasiyo na chembe ya unafiki wala uoga kwa taifa.

Nitoe rai kwa wale wote ambao wao suala la Gesi wanaona ni dili lao kisiasa,hili sio dili ni balaa kubwa wanatafuta maana kuna mambo mengi ya msingi wamesahau kuyafanya ikiwa ni pamoja na,

1.Kujenga vyama vyao kimkakati kuelekea kwenye uchaguzi wa serikali za mitaa.

2.Kujenga uwezo wa ndani wa vyama vyao kukabiliana na mamluki wanaovivuruga vyama vyao.

3.Kutanua wigo wa uongozi na matumizi ya fedha ndani ya vyama vyao.

4.Kutafuta njia iliyo bora kuona jinsi gani vyama hivyo vinakuja na nguvu mpya ya kuungana na kupata chama kimoja chenye nguvu na ushawishi kwa wananchi tofauti ilivyo sasa.

5.Kuacha kuwasumbua wananchi ambao maisha kwao bado yataendelea kuwa magumu tu hata kama Gesi hiyo itabaki kwao.

6.Kuwatumia wataalamu walionao/ama kuwatumia wale waliopo katika masuala muhimu kama haya kwani kwa kufanya hivyo kutawapatia wataalamu wetu nafasi ya kutumia vibaji vyao kuwaeleza wananchi ukweli.

7.Vyama kuondoa dhana potofu kwamba eti siasa ni kwa wanasiasa na si wataalamu,vyama vijenge tabia ya kufanya consultation kwa wataalamu kabla ya kutafuta nguvu ya umma.

Vyama kwa kutokufanya hivyo navyo vitaonekana kama ni sehemu mojawapo ya dili la mtu/watu na si kwa maslai ya taifa.
Chama bora ni kile tu amabacho msingi wake uko katika kujenga nchi hata kama ni polepole maana haraka haraka haina baraka.

Napenda kuviomba vyama vya siasa na wadau wengine kuwa msingi mkuu wa Rasilimali za Taifa ni AMANI.AMANI Ikitoweka sidhani kama kuna yeyote kati yetu atakayethubutu kuzungumzia Rasilimali hizo akiwa Ukimbizini,mifano tunayo sema tu tunajisahaulisha kwa makusudi.

La mwisho ni kuwaomba ndugu zangu tupende kumheshimu Rais wetu hata kama hatumpendi,lakini heshima ni kitu kikubwa sana na kama alikwisha kukosea msamehe tu na umuachie mwenyezi Mungu.Tofauti za vyama zisitufanye kukosa adabu kwa Mkuu kama huyu na kwa wale ambao wana tabia ya kumkebehi,kimdharau na kumsema hovyo bila sababu waache tabia hizo kila mtu na atimize wajibu wake.
Asanteni.

Acha kujidhalilisha na watu waka-Kujumuisha kwenye GENGE la VILAZA,Ina maana umeme ukizalishwa MTWARA basi tumesha hatarisha AMANI?
Una maanisha nini kwa watu wa MTWARA? Mtwara wata-tenge nezea mabomu wayalipuwe au? nyie VILAZA hebu mmoja wenu asimame atueleze namna jinsi amani itakavyo hatarika kama umeme utazalishwa mtwara na kutumika nchi nzima?.mbona mtera unazalishwa na hakuna vita? mbona hale unazalishwa na hakuna vita?,HALI KADHALIKA kidatu na bomu lenu la IPTL Sasa mtwara kuna nini hadi itokee fujo mna akili kweli ninyi?KILAZA kasahau amani ali ichezea alipo piga kampeni kwenye majumba ya ibada leo kazi yake kulalamika tu,HANA NGUVU YEYOTE mafisadi anawaogopa,magamba wame mtisha,vilaza ndo kila kukicha wana mjaza upu-uzi na wewe nawe umeambukizwa.Angalia kijana JANI LA TUMBAKU SUMU KIJANA UTAKUFA BADO WATEMBEA.
 
Sasa muhishimiwa anataka akaombewe kwa Kamerun. Ampelekee basi. Watu wengine bwana, kila kitu eti uwalalamikie hao watu, ndio maana wanatuona mazoba. Waliondoka kututawala, leo tunarudi wenyewe kuwaomba warudi kututawala. Amakweli!
 
Kikwete anataka kuleta gesi uko Kwao bagamoyo. Ndio maana anataka kuleta gesi ya mtara Dar.
 
Kuhusu gas ni kizungumkuti wameishakula hela za watu na kuzificha Uswis sasa wamebaki na kuropoka kila kukicha. CCM KIMEWAGANDA HICHO KUKIBANDUA KAZI.
 
acha kujidhalilisha na watu waka-kujumuisha kwenye genge la vilaza,ina maana umeme ukizalishwa mtwara basi tumesha hatarisha amani?
Una maanisha nini kwa watu wa mtwara? Mtwara wata-tenge nezea mabomu wayalipuwe au? Nyie vilaza hebu mmoja wenu asimame atueleze namna jinsi amani itakavyo hatarika kama umeme utazalishwa mtwara na kutumika nchi nzima?.mbona mtera unazalishwa na hakuna vita? Mbona hale unazalishwa na hakuna vita?,hali kadhalika kidatu na bomu lenu la iptl sasa mtwara kuna nini hadi itokee fujo mna akili kweli ninyi?kilaza kasahau amani ali ichezea alipo piga kampeni kwenye majumba ya ibada leo kazi yake kulalamika tu,hana nguvu yeyote mafisadi anawaogopa,magamba wame mtisha,vilaza ndo kila kukicha wana mjaza upu-uzi na wewe nawe umeambukizwa.angalia kijana jani la tumbaku sumu kijana utakufa bado watembea.

Peleka mawazo yako mbele zaidi,iwapo kila mkoa utataka kama wanavyotaka mtwara nini hatima yake kwa taifa?

Tusipende kulazimisha vitu ama kuwataka wengine kukubali fikra zinazoligawa taifa.

Jani la tumbaku sumu na kifo si hoja,hoja ni nini kinafaa na kwa wakati gani,kwa manufaa ya nani na ili iweje.hii tabia ya kutishiana maisha inaonekana unaipenda sana,anyway umejitahidi kupanga maneno yako kimafia.
 
Muda mwingine ni bora kunyamaza kimya kuliko kutoa speech zenye utata
 
kutoka ktk gazeti la nipashe nimeona Rais jk akijiuliza maswali yafuatayo.

“Unawezaje kuwa na nchi moja na taifa moja wakati kila mmoja anadai rasilimali kutoka kwenye eneo moja ibakie na kunufaisha watu wa eneo hilo tu. Huwezi kuwa na nchi moja na yenye umoja wakati kuna nchi ya gesi asilia kule Mtwara, kuna nchi ya kahawa kule Kilimanjaro, kuna nchi ya chai na ndizi kule Bukoba,” jk

sasa nimeamua kuyageuza maswali yake anayojiuliza na kuuliza unawezaje kuimarisha umoja wa nchi kwa kuamisha rasilimali za mkoa mmoja kupeleka mkoa mwingine?? kama ni kodi kwa ajili ya taifa kwani huwezi kuwatoza kodi ya rasilimali hapo walipo na kuzitumia kwingineko??

swali lake la pili sikuweza kufuatilia logic yake ni nini kwani anaonekana kama vile anajijibu yeye mwenyewe offcourse kahawa ya kilimanjaro inawafaidisha watu wa kilimanjaro. ndizi ya bukoba watu wa bukoba ndio waliolima ulitegemea watu wengine wanufaike na jasho la watu wengine so as ziwa victoria linavyowanufaisha waliolizingira huo ndio ukweli wenyewe. swali langu la msingi unapoamisha rasilimali moja kupeleka sehemu nyingine ya nchi unaimarisha umoja gani ?? umoja ndio limegeuka jawabu la maswali magumu ya wanakusini. its ridiculous
 
Back
Top Bottom