huna hata chembe ya aibu kidogo!!!! yaani hao uliowachagua baada ya kulambishwa vijisenti kiduchu, fulana, kofia na masufulia ya pilau ndo unawaona wa maana??? watu wenye sifa hawachaguliwi kwa vidole!Inakuwaje uteuzi wako wote ukanyooshewa vidole? Unamwakilisha nani hapo? kama ni wananchi mbona watu tuliowakataa kwenye kura wewe unawapa madaraka?
Mimi kwa kweli inaniuma sana hasa kipindi hiki cha huyu jamaa.
Basi bwana; weye mshindi . . . .
huna hata chembe ya aibu kidogo!!!! yaani hao uliowachagua baada ya kulambishwa vijisenti kiduchu, fulana, kofia na masufulia ya pilau ndo unawaona wa maana??? watu wenye sifa hawachaguliwi kwa vidole!
Uko sawa
We unashangaa haya madogo?.................mbona ni kikwete huyuhuyu ambaye watz hawawataki mafisadi lakini yeye ndiye mlinzi waoi mkuu...............kifupi tumuombe mungu atuepushie hili balaa kikwete kwani ingekuwa mtoto basi tungesema si riziki
Inakuwaje uteuzi wako wote ukanyooshewa vidole? Unamwakilisha nani hapo? kama ni wananchi mbona watu tuliowakataa kwenye kura wewe unawapa madaraka?
Mimi kwa kweli inaniuma sana hasa kipindi hiki cha huyu jamaa.
Basi bwana; weye mshindi . . . .
Kwani kukosa ubunge tena kwenye ngazi ya kura za maoni ni disqualification ya kwamba mmuhusika hafai kwa kazi au uiongozi wa ngazi yoyote.Tuache siasa za maji taka na fitina . Mbunge katika jimbo ni mmoja hivyo haina maana watu wote kayika jimbo hilo hawafai kuwa viongozi. Pia tusichanganye suala la mtu kuchaguliwa na kuwa na sifa. sio lazima wale wanaochaguliwa kuwa wabunge ndio the best materials
Naona uko kazini! lakini jua mishahara inayumba.wewe john kujua kiingereza hakuna uhusiano na kuwa Dr. kule china, Ufaransa na Japani kuna maprofessor wengi sana ambao hawajui kiingereza. Au wewe ndo wale wa yes yes mzungu kala mafenesi? English is just a language, the same as Kiswahili et al.
wachumia tumbo mnaonekana tu.unaumia umekuwa Mama Salma?
punguza wivu kwa waume wa wenzio, utashikishwa ukuta.
Tatizo ni kuwa kuna watu wanaamini kuwa atabadilika
Eti kampa Kampleka Matlda Buriani ubalozini Kenya? None sense .