Kikwete unatia aibu sasa

Kikwete unatia aibu sasa

Tizo

Member
Joined
May 19, 2008
Posts
25
Reaction score
3
NIMEONA HABARI YA MTOTO KWA RAIS KIKWETE KUPATA UWAKILI KISHA RAIS AKAFANYA SHEREHE YA KIFAMILIA IKULU TENA AKITUMIA NEMBO YA TAIFA/SERIKALI/STATE KWENYE KADI YA MWALIKOAMBAYO INAMAKOSA YA KITOTO NA KISHENZI.

MFANO SEHEMU YA RSVP IMEANDIKA " Jibu kwa Vazi Rasmi". ikarudiwa tena " jibu kwa mpambe wa rais'.

JAMANI WHERE ARE WE GOING WITH THIS MAN? MJUKUU WAKO ANATOKA ARUBAINI!! SHEREHE IKULU, MTOTO WAKO ANAPATA UWAKILI SHEREHE IKULU, VIKAO VYA CCM , IKULU. MTOT WAKO ANAOA, SHEREHE IKULU!!!!!! CLINTON ANAKUJA- IKULU.

THIS NOW STINKS! MPAKA ANAFIKIA KWENDA KWENYE SEND OFF PARTY!!!!!!! THAT IS BELOW THE BELT KWA KWELI. HUWEZI KUTOFAUTISHA MAMBO BINAFSI NA SHUGHULI ZA KISERIKALI?

MBONA MWENZIE BEN MTOTO WAKE ALIOA NA WALA HATUKUSIKIA KUFANYIKA SHEREHE IKULU???? INAMAAANA WENZIE HAWAKUA NA WATOTO AU WAJUKUU?????

MHESHIMIWA ACHANA NA MAMBO TRIVIAL, YOU ARE MORE THAN THAT MZEE. I AM ASHAMED. UNATUMIA NEMBO ZA SERIKALI KWENYE SHEREHE ZA FAMILIA YAKO!!! IS THAT A PUBLIC CONCERN KWAMBA MWANAO KAPATA UWAKILI??? KWA HIYI MALI ZA SERIKALI ZITUMIKE MPAKA KWENYE MAMBO YA KICHOVU HIVI JAMANI.

HAKYA NANI...
 
......more than stinking!! i think choking of its fishy smell!!!! 'walipomchagua' mkwere 'walitegemea' nini?...mimi siku-vote for yes on favour of any CCM candidate in 2005 general election being councillor, MP or president cause they cause me nausea!!!
 
Na bado akipata msiba ukwereni atahamishia ikulu.watu wanywe uji wa ikulu.hii ndo bongo ya wasio na bongo
 
ndivyo ilivyo, kama wewe unavyopenda kutumia gari la ofisi kwa shuguli zako binafsi, simu ya ofis unatumia matumizi binafsi, ata mi nipo ofisini na natumia internate kwa matumizi binafsi some times, so bora liende. Bongo masihara na mizaha kila kona.
 
Mzee huka copy?
Unaweza scan na kuiweka hapa. Maana yawezekana ni majungu.
 
Na mkuu Malaria Sugu atakuja hapa na Thread yake yenye Heading hii; SHEREHE ZA KUPATA UWAKILI MTOTO WA JK ZAFANA SANA IKULU, HII NI DALILI KUWA JK NI MTU WA WATU.
Suburini muone.
 
Wenye matatizo makubwa makubwa ni sisi Watanzania ambao tunataka kumtumua mbuzi kulinda badala ya mbwa. Hivi mlitegemea nini kutoka kwa Kikwete?

Huwezi kupanda magugu halafu eti unasubiri kuvuna mahindi!
 
Mimi sikujua! kama hivi ndivyo alivyofanya muheshimiwa, haya ni matumizi mabaya ya madaraka. Ama kwa hakika hili zimwi litujualo sasa linatumaliza. Lakini kweli, watanzania tulitegemea nini tulipomchagua huyu msanii, kinyume na ushauri wa Baba wa Taifa? Tunavuna tulichopanda!
 
hivi hili swali langu sijui ni lini litajibika...........
Mbona inasemekana jk anakubalika sana lakini kila uchambuzi unaonesha hakubaliki na anachukiwa kila kona ikiwemo mimi binafsi simpendi kabisaaaa.....lakini hawa watz wanaofanya AONEKANE BADO ANAPENDWA NI KINA NANI HASA?????????
 
Nilikuwa najaribu kucheza na vocabulary kujua maana ya neno ''JK IS STINKING''.......kumbe ndiyo maana yake??????
 
Na bado akipata msiba ukwereni atahamishia ikulu.watu wanywe uji wa ikulu.hii ndo bongo ya wasio na bongo

Jamani kutesa kwa zamu nasie wa pwani ndio mila zetu hizi. Ikulu yeye ndio nyumbani kwake wewe ulitegemea shughuli zake apeleke wapi?

Nawewe muanzisha madda..you may have a valid argument to make..lakini lugha yako ya matusi imekufanya uonekane wa ovyo kabisa. Hivi kwenu hakuna wakubwa.

Nawakilisha.
 
hivi hili swali langu sijui ni lini litajibika...........
Mbona inasemekana jk anakubalika sana lakini kila uchambuzi unaonesha hakubaliki na anachukiwa kila kona ikiwemo mimi binafsi simpendi kabisaaaa.....lakini hawa watz wanaofanya AONEKANE BADO ANAPENDWA NI KINA NANI HASA?????????

Uchambuzi wa kwenye mitandao ndio unaonyesha kama halubaliki. Na mitandao users ni chini ya 0.5% ya wapiga kura wote.

Kikwete anakubalika SANA na ataendelea kushinda kwa sababu majority wanaamini hivyo.
 
At least vinafahamika hivyo vichache , naamini kuna vingine vingi ukiulizia utaambiwa is the matter of the national security! hi ni aibu
 
Back
Top Bottom