Kikwete unamuogopa Mwakyembe

Mkuu pixel shida ya watu wa Mabunga Kisale mpaka Kafundo ni shida aswa hata zahanati kwa vijiji hivi hamna isipokuwa zahanati ya Ngamanga.

kazi kweli kweli.
 
Last edited by a moderator:

Kwa hiyo mulitaka atumie kofia yake ya uwaziri kuwaletea ninyi meli bila kuangalia priorities??? Musafirishe nini?? Mawese??? Mchele????

Binafsi nimeona kitu na natambua juuhudi za mwakyembe kuwepo wizara ya uchukuzi na kama ingekuwa amri yangu angebaki huko. Tizama vichwa vipya vya treni vilivyoletwa mwezi jana kama si juzi.

Acheni ubinafsi, waziri kutokea kwenu isiwe nongwa.

Mengineyo, hakuna aliyekamilika. Hata wewe ukipewa utafanya vitu kwa umuhimu na utaratibu uliowekwa.

Inaonekana akija kuwa Rais, mnaweza taka makao makuu ya nchi yaamishiwe Kyela.
 
wananchi wa jimbo la kyela tulipata faraja kubwa baada ya kukabidhiwa wizara hii, umeshindwa kuiga kwa mawaziri wenzio,

Am I Missing something?!

Naomba kuelimishwa, hivi Dr. Mwakyembe alikuwa waziri wa uchukuzi wa Kyela au Tanzania?
 
Am I Missing something?!

Naomba kuelimishwa, hivi Dr. Mwakyembe alikuwa waziri wa uchukuzi wa Kyela au Tanzania?

naomba kuelimishwa hivi kyela ipo nchi gani, na mwakyembe kapata uwaziri kupitia ubunge wa jimbo gani? je si haki wananchi kuhoji Ahadi za mbunge wao kama kapewa uwaziri?
 
Kuondoka kwa mwakyembe ni pigo sana kwa watumishi wadogo hapa wizarani. Kitendo cha kumleta SIX wizara hii ni sawa sawa na kumleta BUNDI wizarani.tunachosubiria sasa ni matukio.
 
Tatizo la mwakyembe ni papara halafu ana ndoto za kufanya biashara. Ni hatari sana kupewa wizara zenye miradi..ni mpigaji kama wengine wala msijidanganye. Huyo hatakiwi hata kuwa waziri abaki kuwa mbunge tu aendelee kupiga kelele

Pamoja na papara wewe unazodai anazo je, alichofanya alipokuwa hiyo wizara kinaoneka au hakionekani? Be honest mkuu!!
 
Msijidanganye, Mwakyembe kama walivyo ma gamba wengine Ni mpigaji wa kwema mbele.Pale ofisini kwake misululu ya wahindi ilikuwa haiishi! Ni populist nambari one!
 
Msijidanganye, Mwakyembe kama walivyo ma gamba wengine Ni mpigaji wa kwema mbele.Pale ofisini kwake misululu ya wahindi ilikuwa haiishi! Ni populist nambari one!

Kuleta huduma ya treni Dar es Salaam ni kujidanganya?
 


Mafisi yote ya bandari watakuwa wanafanya sherehe kubwa. Bila shaka wamemwambia Prof. Dhaifu amtoe Mwakyembe ili waendeleze wizi wao pale bandarini. Wauza sembe nao hawakubaki nyuma pale Airport. Kuondoka Mwakyembe ni faraja kwao. What a shame!
 


kwa maana hiyo makinda naye apeleke hansad za bunge njombe?
au mlitaka ajenge bandari kwenye ziwa la wamalawi ? acheni utoto!
 

Mimi ninachomlaumu ni ule unafiki wa kukataa Thesis yake mwenyewe, vinginevyo ni mchapakaz
 
Yawezekana Mwakyembe alogusa maslahi ya prof Wa kichina pamoja na mashwahiba wake ndio akaamua kumwaga maji dr. Mwakyembe na kumuhamisha wizara
 
Hata mimi nimejaribu kuliangalia hili,nimeona kama kuna kupotezeana vile!!!!

Hivi umtoe Mwakyembe wizara ya uchukuzi halafu umlete msanii wa bongo muvi Sitta!!?


Huku si kuwatania watanzania!!?

Tangu Mwakyembe akatae publication yake ya serikali 3 ndipo alipojiloga. Cta yeye kapandishwa cheo kwa udhulumati aliofanya kwenye andishi lao na fisadi Chenge
 
Msijidanganye, Mwakyembe kama walivyo ma gamba wengine Ni mpigaji wa kwema mbele.Pale ofisini kwake misululu ya wahindi ilikuwa haiishi! Ni populist nambari one!

Nadhani Dr alielezwa kuhusu upopulist wake akaamua kumshugjulikia. Hivi yale.mabehewa yasiyokidhi viwango vipi?
 

Mafuriko y 2014 ndiyo mafuriko makubwa kuikumba Kyela yakiizidi hata yale ya mwaka 1952,ni mafuriko yaliyo ua watu wengi na kuharibu nyumba na miundo mbinu LKN Mbunge wetu alifika na kukaa Kyela ndani ya masaa tu akiwatembelea wahanga wa Itope tu!

Wapiga kura walipohoji kwa nn anakaa Kyela ndani ya masaa tu wakati hata maiti nyingi bado hazijapatikana Mwakyembe akajibu kuwa YY NI WAZIRI ANA KAZI NYINGI ZA KITAIFA!
 
Mimi ninachomlaumu ni ule unafiki wa kukataa Thesis yake mwenyewe, vinginevyo ni mchapakaz

Nipe uchapakazi wake mmoja tu mkuu!!Kafanya nn Kyela na kafanya nn Wizara ya UCHUKUZI zaidi ya porojo?
 
kwa maana hiyo makinda naye apeleke hansad za bunge njombe?
au mlitaka ajenge bandari kwenye ziwa la wamalawi ? acheni utoto!

Kuwa Waziri HAKUZUII kufikiria kwa manufaa ya Jimbo lako!Wapiga kura wake sisi tukimfuata alikuwa anatujibu'YY NI WAZIRI ana majukumu mengi ya kitaifa',sasa tunamtoa ili aendelee kuwa Waziri

Alijisahau kuwa ili kuwa WAZIRI kwanza inabidi uwe Mbunge,na alijisahau kuwa kuwa Waziri majukumu ya kuihudumia Kyela yapo pale pale
 
Cookies are required to use this site. You must accept them to continue using the site. Learn more…