Kikwete,unakumbuka shuka wakati kumekucha? | JamiiForums | The Home of Great Thinkers

Dismiss Notice
You are browsing this site as a guest. It takes 2 minutes to CREATE AN ACCOUNT and less than 1 minute to LOGIN

Kikwete,unakumbuka shuka wakati kumekucha?

Discussion in 'Habari na Hoja mchanganyiko' started by Tikerra, Sep 10, 2008.

 1. T

  Tikerra JF-Expert Member

  #1
  Sep 10, 2008
  Joined: Sep 3, 2008
  Messages: 1,704
  Likes Received: 7
  Trophy Points: 0
  Bwana Kikwete ameongea.Kwakweli kila siku anaongea,lakini leo kaongea zaidi maana sikumuelewa.Eti anaita wanasiasa wake 'utitiri'.Kaa!.Kuwaita utitiri maana yake nini,kama si kwamba,kawaona hawana tija.Lakini sasa mbona umechelewa sana?Kwakuwa mambo yameshaharibika!Nathubutu kusema,umekumbuka shuka wakati kumekucha!Lakini angalau hongera ndugu yangu Kikwete kwa kuliona hilo,kwamba jamaa hawa hawana lolote, ingawa kwa kuchelewa sana.Kujua chanzo cha tatizo ni mwanzo wa kulitatua.
   
 2. S

  Silas A.K JF-Expert Member

  #2
  Sep 10, 2008
  Joined: Apr 23, 2008
  Messages: 807
  Likes Received: 16
  Trophy Points: 35
  Kayasema wapi hayo,mbona taarifa yako iko haijakaa vizuri? mwaga data zilizoshiba hapa ni JF!
   
Loading...