Kwame Nkrumah
JF-Expert Member
- Dec 2, 2008
- 886
- 376
With all due respect sir, inaonekana wewe ndiyo una chuki na sisi, kwa nini kutumia hela zetu kwenda kubembea Jamaica ?
Labda mimi sikuelewa kiswahili.
Rais JK kasema ktk jamii ndivyo ilivyo 15% watakupenda,15%watakuchukia hata ufanye nini, 70% wao wataangalia upepo unavuma vipi.
Hayo ndo kasema Rais wa Jamhuri ya muungano wa Tanzania .
Kabembea huku akiomba afundishwe Ragae...aaah rais huyu machachari sana...With all due respect sir, inaonekana wewe ndiyo una chuki na sisi, kwa nini kutumia hela zetu kwenda kubembea Jamaica ?
Kabembea huku akiomba afundishwe Ragae...aaah rais huyu machachari sana...
ana jeuri kwa sababu anajua 2010 atachaguliwa tu tena kwa landslide...haitaji hata kuiba kura, mitanzania itamchagua tuu for sure...kwani ni nani hapa nchini anayeweza kusimama kidedea na JK???
I don't understand my president, ufisadi kwake nikitu cha kawaida na anawanyeshea kidole wanamwelekeza njia wapinga ufisadi. We are total lost!!
Haya maneno yana ukweli wowote? Yaani kati ya waTz 40 mil ni hakuna!?
Inawezekana kwa mfumo uliomlea na kumkuuza unao mtazamo wa aina hiyo kwamba kuoneshwa mapungufu yako ni kuchukiwa. Nili-expect kwamba kabla ya kufikia sentenso hiyo, "chuki binafsi" alitakiwa kumwaga kwanza material evidence za utendaji wa serikali yake kuelekea maisha bora kwa kila mtz kisha awaachie wa-handisi wa habari na wananchi wengine wapime kwa utashi wao kama yasemwayo ni chuki binafsi au ukweli juu ya awamu yake.SOURCE TBC1
Rais wa jamuhuri ya muungano wa tanzania amesema yote yanayosemwa kuhusu utendaji kazi wa serikali yake ni chuki binafsi kwa mtazamo wangu jamaa huyu ampendi mtu anayemkosoa embu naomba wanajamvi manguli wa siasa za bongo atupe aliyeisikia hii pale Dar int.airport leo