Kikwete: Tunapinga mapinduzi

Kikwete: Tunapinga mapinduzi

We unaona mama yako ndo kazaa mtu?hahaha acha kuchekesha walionuna.
Nyie wajinga acheni upuuzi wenu, mama zenu wanamakosa gani hadi kuwaingiza jf? Kuweni na adadbu kwa mama zenu. Pumbafffff. sa.na.
 
Siku watanzania tutaweza kusihi bila hofu,unafiki na ushabiki tutaweza kuendesha na kuleta maendeleo chanya kwa nchi yetu. Mtu akijamba aambiwe kajamba.....Ni kweli mapinduzi ni kitu cha kulaaniwa na mtu yeyote mwenye akili timamu anayalaani mapinduzi. Kwa burundi hatutakiwi kuongelea mapinduzi,hapa tuangalie kwa nini tumefika hapa...Kuua ni dhambi na kila mwenye akili timamu analaani vikali maauaji...lakini kumuua mtu alievamia kanisa au msikiti na kuua watu ni kitendo cha kulaaniwa?
Nkurunzinza kavamia nyumba ya ibada na watu wamekufa je ni dhambi kuuawa?
Mapinduzi ya Burundi ni kuepusha shari kamili...warundi waendelee kufa kwa sababu tu Pierre awe raisi!!! No way,am sorry to critisize you mr president wangu.
Hapa mwambieni Nkurunzinza kuwa kajitakia mwenyewe na alitakiwa pia kupelekwa mahakamani.
kuna raha gani kutawala huku watu wako wanauana...shame on you African leaders...
 
Hivi ni kweli hawa viongozi wetu wana akili kwenye bongo zao? Eti wanapinga mapinduzi ya wajeda hapo BURUNDI. Kwahiyo inamaana wanaunga mkono machafuko yaliyokuwa yanaendelea na kusababisha vifo vya wananchi wa Burundi? Wajeda wameamua kuzima jaribio la uvunjwaji wa sheria uliotaka kufanywa na huyu kijana PIERE.

Kwa njia waliyotumia (MAPINDUZI JAPO HAYARUHUSIWI) lkn imesaidia na wananchi wameshukuru na amani itarejea. lakni namshanga huyu mwenyekiti wa kikao cha jana cha marais kujadili kutokukubali mapinduzi yaliyosaidia kufuta fikra potofu za kutaka kuvunja sheria halali.

Napata mashaka yaliyotokea BURUNDI huenda nasi hapa tujiandae kwa kutokana na usanii unaofanywa na serikali hii wajeda wanaweza kufanya yao kama walivyofanya wajeda wa BURUNDI.
Sijaona tofauti ya Raisi Nkurunzinza na yule Dj mhuni wa Billicanas. Wote ni wanajisi katiba, mbona tunamshambulia mmoja tu??
 
Warundi ni wajinga, wanashabikia vitu vya ajabu. Piere kikatiba hakuwa rais wa wananchi ktk mhula wa kwanza, alikuwa rais wa mpito. Tatizo kuna watu tu wanapenda vita
 
Warundi ni wajinga, wanashabikia vitu vya ajabu. Piere kikatiba hakuwa rais wa wananchi ktk mhula wa kwanza, alikuwa rais wa mpito. Tatizo kuna watu tu wanapenda vita

Usipotoshe umma! Unaijua katiba ya Burundi wewe?
 
Hawa lao moja,tuna wasaka madarakai badala ya viongozi Wa watu.

Hongereni wanaburundi kwa kumpa adabu na kumfundisha somo kijana mroho wa madaraka,alitaka muuane tens kama kuku na mmpoteze Mali zenu kwa vita,msikubali arudi nchini mwenu huyo chatu
 
Nimeshtushwa na kusikitishwa na laana-kulaani Mapinduzi ya Kijeshi ya Burundi. Kulaani huko kumefanywa na Rais Kikwete kama Mwenyekiti wa EAC. Kwaniaba ya EAC. Amelaani mapinduzi hayo kwakuwa kulikuwa na mazungumzo yanaendelea. Kweli!?

Yaani watu waendelee kuandamana. Watu waendelee kuandamwa na vyombo vya dola. Watu waendelee kuwa wakimbizi. Watu waendelee kuuwawa. Kisa kuna mazungumzo. Sidhani kama EAC imemwaga laana za halali.

Nkurunziza amekataliwa. Wananchi wake hawamtaki. Yeye anataka kuendelea akiwa hatakiwi. Vurumai. Jeshi lifanyaje? Mapinduzi huwa mwarobaini wa vurumai ikibidi.

Katika Marais wa EAC,Rais Kikwete na Rais Kenyatta ndiyo wasafi. Wanaendeleza demokrasia kwao. Ndiyo wanaoweza kusema na kunyoosha kidole cha lawama na ukweli. Kimewapata nini tena?

Siamini!

Mzee Tupatupa(safarini kwenda Arusha)
 
nimeshtushwa na kusikitishwa na laana-kulaani mapinduzi ya kijeshi ya burundi. Kulaani huko kumefanywa na rais kikwete kama mwenyekiti wa eac. Kwaniaba ya eac. Amelaani mapinduzi hayo kwakuwa kulikuwa na mazungumzo yanaendelea. Kweli!?

Yaani watu waendelee kuandamana. Watu waendelee kuandamwa na vyombo vya dola. Watu waendelee kuwa wakimbizi. Watu waendelee kuuwawa. Kisa kuna mazungumzo. Sidhani kama eac imemwaga laana za halali.

Nkurunziza amekataliwa. Wananchi wake hawamtaki. Yeye anataka kuendelea akiwa hatakiwi. Vurumai. Jeshi lifanyaje? Mapinduzi huwa mwarobaini wa vurumai ikibidi.

Katika marais wa eac,rais kikwete na rais kenyatta ndiyo wasafi. Wanaendeleza demokrasia kwao. Ndiyo wanaoweza kusema na kunyoosha kidole cha lawama na ukweli. Kimewapata nini tena?

Siamini!

Mzee tupatupa(safarini kwenda arusha)

naungana na kikwete na ukihitaji sababu za mimi kupinga mapinduzi kharamu ya jana nitakupatia.
 
Hhaahahhahaaaaa mbona na "mimi" najaribu kuchelewesha uchaguzi ili nibaki japo kidogo.
 
Warundi ni wajinga, wanashabikia vitu vya ajabu. Piere kikatiba hakuwa rais wa wananchi ktk mhula wa kwanza, alikuwa rais wa mpito. Tatizo kuna watu tu wanapenda vita

Ni kweli ila binadamu mwnye ethics unaachia tu madaraka uwapishe wengne maan wananch hawakukubali tena...mtu mmoja unasababisha watu wanauawa bila hatia...
 
Siungi mkono mapinduzi lakini kwa mazingira ya Burundi naunga mkono kwa asilimia zote,tena ingekuwa vizuri kama wangemkamata ili ajibu mashtaka ya machafuko na mauwaji ya raia wasio na hatia!inatia hasira sanaa!!
Siyo kumkamata tu achapwe na viboko kadhaa matakoni ili ajifunze adabu. Watu wanakufa yeye anang'ang'ania madaraka.
 
hawa viongozi wetu wanfiki sana, wanataka mazungumzo wakiharibu, hongera wajeda wa Burundi kwa hilo, ccm mjifunze kwa yaliyotokea
 
Nimeshtushwa na kusikitishwa na laana-kulaani Mapinduzi ya Kijeshi ya Burundi. Kulaani huko kumefanywa na Rais Kikwete kama Mwenyekiti wa EAC. Kwaniaba ya EAC. Amelaani mapinduzi hayo kwakuwa kulikuwa na mazungumzo yanaendelea. Kweli!?

Yaani watu waendelee kuandamana. Watu waendelee kuandamwa na vyombo vya dola. Watu waendelee kuwa wakimbizi. Watu waendelee kuuwawa. Kisa kuna mazungumzo. Sidhani kama EAC imemwaga laana za halali.

Nkurunziza amekataliwa. Wananchi wake hawamtaki. Yeye anataka kuendelea akiwa hatakiwi. Vurumai. Jeshi lifanyaje? Mapinduzi huwa mwarobaini wa vurumai ikibidi.

Katika Marais wa EAC,Rais Kikwete na Rais Kenyatta ndiyo wasafi. Wanaendeleza demokrasia kwao. Ndiyo wanaoweza kusema na kunyoosha kidole cha lawama na ukweli. Kimewapata nini tena?

Siamini!

Mzee Tupatupa(safarini kwenda Arusha)

Ulitegemea iwe tofauti?Mbona group yao ni moja na wote maslahi ni yaleyale?Taifa baadaye ,Umimi kwanza............

Angalia walivyopata madaraka yao,wengine waliiba kura na wengine wamelazimisha hivyo njia yao ni moja lazima wateteane!!!!!!!!!!!
 
Mimi nasema JK awe makini kwani sio kila mapinduzi ni haramu au tunatakiwa tuyapinge. Haya ya Burundi ilikuwa ni muhimu yatokee. Kama ni kupinga mapinduzi bai apinge na yale ya Zanzibar maana nayo yaliipindua serikali halali ya kwanza ya uhuru wa Zanzibar. Hivi JK anataka kutwambia kama leo hii kale kajamaa ka rais ka Korea kanako nyonga watu kama kuku eti kwa kisa hata cha kusinzia tu kakipinduliwa napo atapinga? Hata akina M7 na Mugabe wakipinduliwa hatutakiwi kupinga sana sana tuuchune tu kwa kukaa kimya maana nao wametukinahi kwa kugeuza urais kuwa ufalme
 
Mapinduzi kwa nchi yeyote si ya kuyaombea sabb wanaoumia na wananchi wasio kua na hatia, ivyo basi ni busara sana wanasiasa kufikiria vyema kabla hawajafaya maamuzi ambayo yanaweza kusababisa wananchi anaowatumikia wakaingia kwenye machafuko au kuumizwa kwa namna yeyote.
cjui wasiasa wanasahau waajiri wao ni wananchi am nini...!
 
attachment.php

EXACTLY!
 
Back
Top Bottom