Kikwete: Tunapinga mapinduzi

Kikwete: Tunapinga mapinduzi

Hivi ni kweli hawa viongozi wetu wana akili kwenye bongo zao? Eti wanapinga mapinduzi ya wajeda hapo BURUNDI. Kwahiyo inamaana wanaunga mkono machafuko yaliyokuwa yanaendelea na kusababisha vifo vya wananchi wa Burundi? Wajeda wameamua kuzima jaribio la uvunjwaji wa sheria uliotaka kufanywa na huyu kijana PIERE.

Kwa njia waliyotumia imesaidia na wananchi wameshukuru na amani itarejea. lakni namshanga huyu mwenyekiti wa kikao cha jana cha marais kujadili kutokukubali mapinduzi yaliyosaidia kufuta fikra potofu za kutaka kuvunja sheria halali.

Napata mashaka yaliyotokea BURUNDI huenda nasi hapa tujiandae kwa kutokana na usanii unaofanywa na serikali hii wajeda wanaweza kufanya yao kama walivyofanya wajeda wa BURUNDI.


Je,walipokuwa wanaitisha mkutano wao pale dar es salaam ww unafikili walikuwa hawjui kitakacho tokea burundi wao wakiwa dar mkutanoni?, mm naamini mchezo mzima waliujua
 
Kibonzo kinatoa ujumbe fulani, kinaonyesha kwamba yeye na mwenzake wa nchi jirani sana na sisi na huyo yaliyomkuta jana wanatafakari na 'kutamani sana' kama angalau wangepata 'one more 4 the road'

Hao wengine wawili, ni kama tayari 'weshajitwalia' u-life President!
 
Kajipange mkuu naona umekurupuka.madaraka matamu mkuu,pesa Ina laana kama mtu anaua mzazi wake leo iweje kwa mtu wa kabila lako?
 
Tena nkuruzinza alitakiwa auwawe kabisa kwa upuuzi alioufanya.yaani anataabisha malaki ya watu kwa interest zake binafsi.

ndio maana akaogopa kutua bujumbura akaenda kusikojulikana.angejaribu kutua tu lazima ndege yake ingelipuliwa
 
Kibonzo kinatoa ujumbe fulani, kinaonyesha kwamba yeye na mwenzake wa nchi jirani sana na sisi wanatafakari na 'kutamani' kama angalau na wao wangepata one more 4 the road.

Hao wengine wawili, ni kama tayari 'weshajitwalia' u-life President!

Naamini JK angeambiwa hata leo ku-quit ikulu, hana shida.
 
ikiwa awali walikuwa laki mbili seuze elfu kumi na tisa??
-wananchi wa burundi wengi wakati wanapelekwa 2010 walikuwa ving'ang'anizi hawakupenda kwenda kwao kwa malengo ya kupewa uraia wa hapa nchini au wapelekwe nchi za nje#!?
**hivyo baada ya kurudishwa makwao baada ya kutokea vurugu kidogo bujumbura hata walio mikoa ya luyigi na nyanza lake wakamiminika nchini.maana huko ndiko waliko rudishwa wakimbizi wengi kipindi cha awali.
##kwa taarifa yako tu hata jana nilikuwa mkoa wa luyigi burundi lakini amani ipo tena sana tatizo ni *watusi *wa bujumbura.

Mkuu tuwaombee sana hawa wana wa Burundi huyu Nkurunziza asirudi kugombea tena.
 
ndio maana akaogopa kutua bujumbura akaenda kusikojulikana.angejaribu kutua tu lazima ndege yake ingelipuliwa
Hajaenda kusikojulikana, kwani wewe hujui kuwa alirejea 'nyumbani' kwake Dar jana ile ile usiku, baada ya 'wajeda' wa nchini kwake kumtilia ngumu kutua kwenye uwanja wa nfege wa Bujumbura?
 
..anapinga nini??kama sehemu ya jeshi la Burundi na raia wameona Nkurunziza analeta shida Burundi na kusababisha machafuko kwa kutaka kung'ang'ania madarakani kinyume cha katiba na tamko la Arusha...yeye JK ana haki gani kuwazidi waburundi ya kupinga mapnduzi??...hawa marais wa EAC wote lao moja tu....Ndio maana wanaweza hata kutaka kukaa meza moja na mtu (Mkurunziza)anayeleta machafuko nchini mwake..

....Yaani nawashangaa hawa marais kwa kweli....Mtu ameleta machafuko nchini mwake kiasi cha kusababisha wakimbizi kuzagaa EA lakini wanashindwa kumwambia hapana??....yaani hata suala la wakimbizi haliwaumi???....mtu anang'an'ania madarakani kinyume cha katiba wao wanasema asitolewe??...kama wote lao si moja tusemeje??....Sijamsikia hata mmoja wao marais hawa akipinga kitendo cha Mkurunziza kukiuka matakwa ya kikatiba na kutaka kuendelea kuongoza...kiasi cha kusababisha machafuko makubwa...yaani hili haliwaumi hawa marais???...inashangaza sana....kama wote lao si moja tusemeje??
 
Kauli ya Kikwete ingekuwa na maana kama pia wangepinga uhuni aliofanya Nkurunzinza wa KUNAJISI katiba na makubalioano ya Arusha.

Lakini kunyamazia uhuni wa Nkurunzinza ka kupinga mapinduzi ya Burudi, JK na EAC heads of states wanakosa kabisa MORAL AUTHORITY ya kupinga mapindzui ya Burundi.

BTW, inaonekana sasa Tanzania limekuwa KABURI la ma-Rais wa Burundi. Alianza Habyarimana akatunguliwa wakati akitokea Tanzania.

Sasa amekuja Nkurunzinza amepinduliwa wakati akiwa Tanzania. Wazungu huwa wanasema IS THIS A COINCIDENCE!!
 
Mbona mr. Dj kachezea katiba hapa zitto kapiga kelele mkamwita msaliti. Kuna tofati gani kati yao wawili.
Mkuu mambo haya hata wafanye wana chadema waendelee kumchagua Mbowe Kuwa mwenyekiti wao maana uenyekiti wa Mbowe kuwaumiza zaidi wanaccm kuliko wana chadema,inawafanya wanachadema wanaamini Kuwa kwenye kampani zetu za kupinga uenyekiti wa Mbowe kuna jambo limejificha nyuma ya pazia
 
EAC ivunjwe. Tubaki na bilateral agreements tu
 
Burundi walitakiwa kuwekewa vikwazo na nchi za maziwa makuu hadi waweke mambo yao sawa.
 
Back
Top Bottom