Kikwete: Tunapinga mapinduzi

Kikwete: Tunapinga mapinduzi

Ameniboa sana alipotoa hotuba yake ya kulaani mapinduzi haya kwa lugha ya KIINGEREZA wakati wanasema wanataka lugha ya kutumika kwa EAC iwe ni kiswahili.

Tunalaani mapinduzi kwa nguvu zote kama mlivyokuwa mkiwalaani kina mwigamba na kitilya. Mkuki kwa nguruwe binadamu mchungu.
 
Mbona mr. Dj kachezea katiba hapa zitto kapiga kelele mkamwita msaliti. Kuna tofati gani kati yao wawili.

anaepiga kelele yuwapi.. kama sio wewe peke yako unaji😛uke:
 
Nimesikiliza BBC Kikwete kwa niaba ya marais wa Afrika mashariki akikemea wanajeshi waliopindua serikali ya Burundi kwamba wameiondoa serikali halali iliyochaguliwa kikatiba. Kibonzo hiki kina majibu.

11139461_987974157914578_7697035687896051971_n.jpg
 
Sizani kama kuna kiongozi afrika mwenye akili timamu.sasa huyu nae anaongea nini,au anafikiri hii nchi Ni ya familia yake?

Umenena- Yeye Rais, Mke wake kamati kuu ya CCM, mtoto mbunge/kamati kuu, kawambwa Elimu, Halima dendegu , RC, Member waziri.....ukooo mzima uko serikalini!Watamhukumu mwenzao kweli.
 
Safi sana prof.jk mapinduzi yAtazidisha vuruguu
 
hivii,, ni kweli hawa viongozi wetu wana akili kwenye bongo zao?? Eti
wanapinga mapinduzi ya wajeda hapo burundi. Kwahiyo inamaana wanaunga mkono machafuko yaliyokuwa yanaendelea na kusababisha vifo vya wananchi wa burundi.? Wajeda wameamua kuzima jaribio la uvunjwaji wa sheria uliotaka kufanywa na huyu kijana piere. Kwa njia waliyotumia imesaidia na wananchi wameshukuru na amani itarejea. Lakni namshanga huyu mwenyekiti wa kikao cha jana cha marais kujadili kutokukubali mapinduzi yaliyosaidia kufuta fikra potofu za kutaka kuvunja sheria halali.
Napata mashaka yaliyotokea burundi huenda nasi hapa tujiandae kwa kutokana na usanii unaofanywa na serikali hii wajeda wanaweza kufanya yao kama walivyofanya wajeda wa burundi.

hata mimi willafrica *the legend nina simama imara kupinga haya mapinduzi yenye malengo tofauti na waandamanaji*



-safi sana j.k.
 
Baadhi ya watanzania wanapinga kwasababu wamezoea kupinga kila jambo,hali ya burundi ilikua mbaya na hakuna anaifurahia ndio maana mwenyekiti wa jumuia ta e.a.c kaitisha mkutano kumaliza hali ile,nami pia napinga ubakwaji wa demokrasia ulioanza kuzaliwa Burundi,turudi kwetu sasa je waupinzani wanapotaka kuingia ikulu wameshajitathimin vya kutosha?vipi kuhusu kubaka demokrasia?katiba zao zipo huru na wazi?
 
hata mimi willafrica *the legend nina simama imara kupinga haya mapinduzi yenye malengo tofauti na waandamanaji*



-safi sana j.k.

endelea kusimama hivohivo
usubiri na huku nako muda si mrefu kitanuka
 
siungi mkono mapinduzi lakini kwa mazingira ya burundi naunga mkono kwa asilimia zote,tena ingekuwa vizuri kama wangemkamata ili ajibu mashtaka ya machafuko na mauwaji ya raia wasio na hatia!inatia hasira sanaa!!

you dont know what are you talking about,???
-its not your fault##
 
Kwa jinsi nijuavyo Burundi, aliyepindua Gen Mayumbe na aliyepinduliwa Gen P. Nkurunzinza ni kabila moja, yaani wote ni wahutu.
Kwa jinsi ninavyowajua hawa ni ndugu wa damu, kamwe hawawezi kuwachia Watusi warudi madarakani.hivyo wamepanga iwe hivyo ili mhutu asije akapoteza wadhifa na heshima aliokuwa nayo.
Ingekuwa huyo mpinduaji ni ea kabila tofauti basi leo hii Burundi ingejikuta jeshi limegawanyika kwa hisia na itikadi za kikabila na vita vya kweli maarufu kama genocide tungeshashuhudia.
Naomba kuwakilisha .
 
wakimbizi walio sajiliwa kigoma wamefika elf 19 na bado wengine wako nyarugusu! Sasa kupinga haya mapinduzi unahitaji uwe fisadi na element za kigaidi! Otherwise haya mapinduzi ni ya kurejesha amani burundi sioni tatizo hapo
ikiwa awali walikuwa laki mbili seuze elfu kumi na tisa??
-wananchi wa burundi wengi wakati wanapelekwa 2010 walikuwa ving'ang'anizi hawakupenda kwenda kwao kwa malengo ya kupewa uraia wa hapa nchini au wapelekwe nchi za nje#!?
**hivyo baada ya kurudishwa makwao baada ya kutokea vurugu kidogo bujumbura hata walio mikoa ya luyigi na nyanza lake wakamiminika nchini.maana huko ndiko waliko rudishwa wakimbizi wengi kipindi cha awali.
##kwa taarifa yako tu hata jana nilikuwa mkoa wa luyigi burundi lakini amani ipo tena sana tatizo ni *watusi *wa bujumbura.
 
Back
Top Bottom