KIKWETE The Fantastic President ever happened in TZ

KIKWETE The Fantastic President ever happened in TZ

Ndugu zangu wanaJF. Tukubali kwamba kwa yeyote aliyemsikiliza mhe. RAIS jana kwenye hotuba yake basi atagundua kuwa JK is man of people. Jamaa ni MZALENDO sana na anafanya MAAMUZI SAHIHI KWA WAKATI SAHIHI. Good JK, Keep it up.

Well said, indeed he is the best president ever.
 
mi nilikuwa nasikia mipasho tu hana lolote labda kwa kuwa hotuba yake nimeizidi akili na ufahamu
but still sijaona ufantastiki wake zaidi ya kujishebedua na mambo yake ya hovyo

wangemwekea beat ingekuwa rnd saf kabisaa!
 
Ndugu zangu wanaJF. Tukubali kwamba kwa yeyote aliyemsikiliza mhe. RAIS jana kwenye hotuba yake basi atagundua kuwa JK is man of people. Jamaa ni MZALENDO sana na anafanya MAAMUZI SAHIHI KWA WAKATI SAHIHI. Good JK, Keep it up.

Maamuzi gani aliyofanya ya kizalendo. Au kukubali mchakato wa katiba uanze ndiyo imekuwa nongwa!!! Hata asingetaka mchakato huo ufanyike, hakuwa na jeuri ya kufanya hivyo. Nguvu ya umma ilianza kuongezeka. Nashikuru kama waidizi wake wamemshauri hivyo. Vinginevyo, kama nilivyotabiri kwenye thread yangu moja, atavurumushiwa mawe na virago vyake baada ya kumaliza muda wake.
 
Washabiki wa jk na sisiem naonaga tatizo katika uwezo wao wakufikiri. Wanajengaga hoja za kitoto. Is the party full of blank headed fellas?
 
Who is KIKWETE???! bado sijajua kwamba TZ ina President!.

Pengine kweli ni 'mzalendo' tangu January 2011 lakini kazinduku kwa mkurupuko mno.

Akawasikilize wenye hoja ya kuandikwa upya katiba laa sivyo janja za KUPOTEZA MUDA, KUHODHI MCHAKATO na pengine kuuteka nyara uamuzi wa wananchi kujiandikia katiba huenda ikampasukia vibaya mno usoni.

Hofu yangu kubwa ni tunda litakalozaliwa na ULAGHAI kwenye kuandika katiba huenda ikama mchungu kupita kiasi.
 
Busara ya jk ni kukubali mchakato wa katiba mpya ila uzalendo sijauona.as far as im concerned,kakubali coz kaona hakuna njia mbadala.ingawa kakubali lakini bado nahofu ktk utekelezaji.nahisi wananchi tunaweza pigwa changa la macho 2kashangaa katiba ikaandikwa mpya lakini sivyo wananchi 2nayoitaka
 
Aisifiaye Mvua, imemnyeshea.

Amsifiaye Mwanaume mwenzake, teteteteeeee ..........................
 
Inawezekana mzuri kwa sababu unakula kwa mgongo wake. Aking'oka na wewe habari yako itakuwa mbaya.
 
utanataka kuponza watu.

kuna watu lazima watakula ban na hii thread yako.

Hahahahahaaaaaa! Katumwa nini huyu mkaka?? Labda kama unamfananisha na Mzalendo gazeti la CCM nitakubali kwamba uko sahihi 100%.
 
Back
Top Bottom