Kikwete: Sihusiki Zanzibar

nani alimuuliza?? hahahaha
 
Kwi kwi kwi kwi kwi kwi kwi
 
Rafiki wa kweli ni yule wa kwenye shida na raha.
I didn't expect you to agree with me. I answered you for the sake of other honest readers. Well good day am kind of busy I have to go. Thanks
 
I didn't expect you to agree with me. I answered you for the sake of other honest readers. Well good day am kind of busy I have to go. Thanks
Ubarikiwe mkuu ila tumshukuru JK kwa pamoja na kumuombea kwa Mungu aishi maisha marefu kwa kuhakikisha nchi imebaki mikononi mwa mtu salama.
 
Watu hamjui,ishu ya zanzibar inasimamiwa kwa karibu sana na Samia Suluhu na Balozi Iddi seif hao kama kuitwa wanoko ni hao hata sefu anajua
Hawa juniors sana CEO Mtanganyika.
 
Ni ngumu sana kumuamini JK angalia madudu yaliyoibuliwa ndani ya miaka 10 ya uongozi wake.
 
Wanamsingizia bure babu chodo wa watu jamani hawana hata huruma watz wazandiki sana
 
Hivo jwtz waliovamia bwawani na kuzui kutangazwa matokeo ni amri ya Mamunyange?
Kwa kweli katika orodha ya wanafili duniani, JK anaweza kuwa katika top 10.

Hivi ibawezekanaje waangalizi wote wa uchaguzi wa ndani na nje ya nchi waseme uchaguzi ulikuwa huru na haki.

Hivi inawezekanaje pia wasimamizi wa uchaguzi watoe hadi vyeti vya ushindi kwa washindi wa Baraza la Wawakilishi.

Hivi inawezekanaje pia kwa Mwenyekiti wa ZEC kutoa matokeo kwa siku 2 mfululizo hadi kufikia kutoa matokeo ya majimbo 31 kati ya 54, halafu ghafla Jecha asitishe kuendelea kutoa matokeo katika siku ya 3 ambayo ilikuwa tarehe 28/10/2015 na badala yake aibukie ZBC na tangazo lake lililokuwa recorded lililotangaza kuufuta uchaguzi huo, ikieleweka wazi hicho kilichofanywa ni uvunjifu wa wazi kabisa wa Katiba ya Zanzibar ya mwaka 1984, kama hiyo taarifa ya kufuta uchaguzi huo haikutoka kutoka the highest office in our country?

Huyo JK hivi sasa anaanza kuweweseka kwa kuwa anajua alichokifanya kwa kuwapokonya sauti waliyoifanya wazanzibari kupitia sanduku la kura ni lazima itamfikisha ICC kule The Hague Uholanzi.
 

Fuatilieni, Historia Inaonyesha Kila Kikwete alipojitokeza Kukanusha Kuhusika na Jambo Fulani, Basi Ni Kunyume chake. Alihusika na anajifanya Kujikosha. Yaani ni Kama Mtoto amelamba Sukari na Bila hata Kuulizwa anaanza Kusema, sijala sukari" Huku mashavu yake yakinata nata kwa sukari. This Guy is a Character. Msanii kweli yaani


Hebu kwa Mfano sikiliza Issue ya Ulimboka, alivyoruka. Ulimboka Mwenyewe alisema aliyemsetup atekwe alikuwa ni mtu wa Ikulu. Kama Ulimboka alidanganya, Ramadhani Ighondo si angehojiwa na aletwe mbele ya Ulimboka tuone Kama angemtambua? Kwanini Serikali ya Kikwete haikufanya lolote zaidi ya Maigizo ya Kumkamata Kijana wa Kikenya? Sikiliza ("Dr. Mkopi akakana hakuagiza Mgomo... Lakini hakumtaja aliyehusika kuagiza Mgomo ...Dr. Ulimboka Hakustahili Kuwepo, Lakini Kama wanaona anaweza Kuwasemea kuliko serikali basi awepe ... Kama Kuna katika Serikali kuna aliyehusika alifanya haya aliyanya kwa sababu zake mwenyewe mie sikumtuma, ... Kumtia adabu mtu anayekaidi..")
 
ALISEMA PIA HAJUI KWANINI MPAKA LEO TANZANIA NI MASKINI.
 
Alisema pia hamjui mmiliki wa Dowans - wakati alienda hadi ikulu. Alitembelea TZ na kusema hataki kupigwa picha
 
Naomba mungu awape maisha marefu kikwete na mkapa ili siku mmoja waweze kuwajibika kwa yote yaliyotokea Zanzibar wakati wa uongozi wao
 
ndiye aliyebariki uvunjwaji wa katiba kwa kuiruhusu Zanzibar kuwa na mamlaka kamili leo wametibuana wanakuja huku bara kulialia
 
Cookies are required to use this site. You must accept them to continue using the site. Learn more…