Kikwete safarini TENA!


very proctive comrade. Tufike mahali rais wa Tanzania ajue ni utumishi na si MATUNUZI. Bwana huyu naye ajue barabara ya kwamba atawajibikia upuuzi wote aliufanyia WATANGANYIKA, I mean it. Iweje mamilion wanaumia kwa kukosa resources za nchi waweze kuendlea na huku mwingine na wapambe wake waruka huko na huko ughaibuni wakikenua meno!
 
Huyu jamaa ni pumba na dhaifu to say the least, canada day inakuhusu nini wakati kuna mambo yanayohitaji attention yake hapa nyumbani. What happened to a statement: "a government of the people for the people by the people"
 
Mkuu, Mnyika alishasema jamaa ni dhaifu, unategemea nini? yetu macho ni tarehe1 july utaona V.Dagama anachanja mbuga

Inabidi kuelewa sababu ya safari, kwani aliishakuwa waziri wa mambo ya nje na alisafiri sanaa kwa hiyo siyo kama anainjoyi kusafiri bali ni majukumu yanamfanya asafiri. Mnyonge mnyongeni haki yake mpeni
 
Inabidi kuelewa sababu ya safari, kwani aliishakuwa waziri wa mambo ya nje na alisafiri sanaa kwa hiyo siyo kama anainjoyi kusafiri bali ni majukumu yanamfanya asafiri. Mnyonge mnyongeni haki yake mpeni
, mkuu usiwe mvivu wa kusoma na kushirikisha ubongo wako.....ameitwa Canada kuhudhuria canada Day 2012
 

TUPE SOURCE TAFADHARI TUMECHOSHWA NA UPOTOSHWAJI WA BAADHI YA TAARIFA HAPA Jf
 
hyo sherehe ya canada day hata waziri angeweza kumuwakilisha kuliko aende yeye ni matumizi mabaya ya fedha za serikali.
 
Hii nchi ngumu sana mwacheni mkuu akapumzike jamani halali eti usiku kucha anawaza jinsi ya kutatua matatizo yetu. Ila tunajadili na hili pia tutawapa taarifa.....teh teh teeeh!
 
Nanunsa 'state corruption' hapa. Kama kweli atakuwa amealikwa na akaenda kwenye hiyo sherehe basi tuna tatizo. Hawa Canada waliwaandalia chakula wabunge mwaka jana, na sasa naona mwaka huu wanamlenga Rais. Yote hii ni kutaka madini ya nchi.

Kwani hujui Barrick ni ya Canada??
 
Reactions: FJM
Sasa ulitaka afanye nini?Wamesema LIWALO NA LIWE!
 
Nadehani atasherehekea vizuri sana manake alilotaka la kumuua Dr Ulimboka limetimia
 
Cookies are required to use this site. You must accept them to continue using the site. Learn more…